[Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved] anachekesha kama sio ndugu yako
2026-10-03 11:15:43
0
emanuelmsolopa :
awawez man zinatoka kwa speed sana kwa anayejua ngumi anaelewa
2026-09-27 09:53:52
130
Hassani Mshana :
hakika haujakaza kaka
2026-09-27 12:48:56
47
AIKA KIMARO :
We nimchumba
2026-09-27 15:13:44
46
ustadh_muhammed :
Huyo ni mwanafunzi wa papa blood P historia imaan za kwa Master wake aliemtrain wengi hamkupata wasaa wa kumjua Allah aliweka kitu ndani yake thats it Inna lilah Wainna Ilayh Rajioun Forever Bro the World doesn’t know
2026-09-27 11:44:10
46
elibariki Melita :
That's good
2026-10-03 04:54:00
0
~Joely Tz007~ :
😂😂rambo em tueshimishe kwa hao machalii😂😂👍👍
2026-09-27 10:56:17
21
Mshihir_255 :
Iyoo stop kick atoki mtuu lazimaa ujaae alaf mazoez yapo apo yupo chap sana
2026-09-27 11:15:02
18
@BLEs$ :
yule akuwezi kwa nilivyokuona na hzo skills
2026-09-27 10:38:47
26
Hope-king :
upo fit aisee🙌
2026-09-27 18:39:08
2
stefan :
one love brooo
2026-09-30 05:54:10
1
youngmuller194 :
Jomba nimzima huyu [Fire]
2026-09-27 11:03:51
8
Le kelly96 :
mchumba tu
2026-09-27 10:23:23
33
Yuzo Efx🇹🇿 :
Genge udani👊✅
2026-09-27 10:02:46
28
Janjaro :
Mganga kaibiwa jini… shughuli wanayo 🔥 🔥 🔥
2026-10-02 11:57:44
2
BECKA :
GENGEEEE
2026-09-27 10:15:10
15
Ronny Efx :
amn kazii apo
2026-09-27 10:11:46
11
MWARAB FIGHTER 13 :
zinatok sio Kimbea Ramboo 🔥🔥
2026-09-27 17:24:56
7
bloodrainer :
brazza kati ya kitu nakiona n hyo teke ya kuvunjia mlango ,hyo n hatari na huwa haitoki toki ovyo ,inatoka pale ambapo mtu kajaa kwenye mfumo maana ukikosa target nayo n mbaya, alafu broo ,wapiganaji wengi hawajui kutumia punzi vizuri ,ila kwa movement zako naona kabisa utasave punzi tofauti na yule jamaa anatumia nguvu sana ko lazima atachoka mapema,all and all uwe na mchezo mwema broo
2026-09-27 15:52:11
5
emmunuly :
lini Wana zichapa
2026-09-27 15:18:19
0
maxamedkhadar :
keep going Rambo
2026-09-27 22:56:00
1
dady :
umekaza broda combination yakibabe stes yakijomba akika kaka mkubwa
2026-10-01 22:01:47
1
INTROVERT :
HAPO NIMEONA VITU VIFUATAVYO
1.SPEED SHARP
2.UNA PIGA TAIBOX VIZURI SANA
3.MAN 2MAN NO DISTANCE...
CHA KUONGEZA HAPO NI NAMNA YA KU GUARD BILA KUACHA USO WAZI...
2026-10-02 19:29:00
4
Elai :
nikajua Ni game la GTA 😅😅
2026-09-28 16:41:52
1
mshua msuya jr :
😫😢Technic za zamani xan hzo
2026-09-29 19:10:29
1
To see more videos from user @fidovato_official, please go to the Tikwm
homepage.