siku moja nilimpigia baba yangu nikiwa na matatizo nikamuomba anitumie 20000 alinijib wewe ni mwana ume pambana na uhakika wa hela anazo niliumia moyon
2026-09-27 18:04:02
11
SIDDE BOY OG :
kumbuka Kuna neno (mtoto) hapo
2026-09-28 13:30:10
4
Becca :
hii challenge ngoja nimfanyie ba mpenzi🤣
2026-09-28 07:13:24
8
kador :
we familia kwel
2026-09-27 19:37:59
7
Godwin Mwaipopo :
iviii iviii mpaka nashindwa kutooa comment
2026-09-27 11:54:20
11
no smorking :
weeeeee safi sanaaaaa
2026-09-27 10:40:24
13
Gsm media :
Hata mimi siwez kukubali
2026-09-28 08:04:08
3
Angel Isdory :
ooookey
2026-09-27 18:52:26
1
kisukali tz :
nimechek mpk nimepaliwa na chai
2026-09-28 05:59:32
3
happynes masawe :
🤣🤣🤣🤣 mungu nisaidie nisiseme chochote🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 13:40:51
1
yaku :
pamechangamka ap
2026-09-27 19:24:04
3
JOHN MWANJALA :
Tanzania imechachuka
2026-09-27 18:34:27
2
Suleiman Abdulrahman :
Kama milembe iko mbali huku kwetu zanzibar kidongo chekundu ipo karibu[Heartwarming]
2026-09-28 05:58:29
4
mathayo laizer :
Umeuwa
2026-09-27 11:43:38
1
To see more videos from user @bongetz, please go to the Tikwm
homepage.