staki staki stakiii.. hakuw kama Mimi alikuwa kama mtu😔🥺
2026-09-27 20:10:20
1
dduu 67 :
ubarikiwe
2026-09-27 10:14:12
1
thubira :
🥹🥹umeniliza sana nimemkumbuka mama angu mdogo tunakaa naye tunalala nae kutanda kimoja tunacheka🥹tunafrahia maisha tunapiga story za miaka ijayo kumbe hatafika ety bado bint 🥹🥹 mama yangu mdogo ulale mahala pema pepon bado nakupenda sana mtoto wako zile stor tulizo piga 2022 naelekea kuzitimiza mama yangu🥹 MIMI SAIV NIMEAMIN KWELI WALE MAITI WALIKUA KAMA SISI
TUKIWA HAI HIV TUSIJISAHAU TUSIMSAHAU MUNGU🧎♀️➡️🙌🥹
2026-09-27 17:40:17
1
Lizzyberry💗 :
Mungu tukumbushe kwamba na ss tutakuwa kama wao 😭😭
2026-09-27 11:05:20
1
it's chammy❤️💦 :
😭😭dah nimekumbuka mbal sana
mwenyez MUNGU awapunguzie adhabu ya kaburi wafu wote🙏
2026-09-27 10:10:36
1
Rouhy🫶♋️💦 :
jina la wimbo please🙏🙏
2026-09-27 21:46:35
0
mercy💕girl of 🆕 covenant :
furahisha watu..
2026-09-27 17:59:42
0
Dizzle OG25 :
we big nakukubali mnoo sijawah kukupinga
2026-09-27 12:38:37
0
💫 cherry blossom 🌼💦 :
nouma sana🥰🥰🥰
2026-09-27 09:55:34
0
Laheri Christen :
Mungu atuoe mwesho mwema
2026-09-27 12:30:44
0
Jenny Johny :
Dhaaa kaka umeniliza umekumbusha mbali
2026-09-27 15:36:15
0
gr@ce :
mungu atusaidie
2026-09-27 14:16:03
0
TheSilentGirl :
😭😭dah
2026-09-27 18:21:08
0
Faith Emanuel99 :
😭eeeeh MUNGU tupe moyo wa kutokujisahau na tukumbushe kila siku hili tukufatute kila wakati.
2026-09-27 12:45:16
0
Abriellah :
Tusijisahau🥺
2026-09-27 11:16:07
0
solange nice💧 :
Eeeee Mungu atasaidia pia atuurumiye 😭
2026-09-27 10:42:06
0
P fighter :
MUNGU asimame nasi kwa sababu vipengele vichache tu vinatufanya tufilie sana kuhusu mali kuliko Uhai nani katupatia na tumegalamia kwa kumfanyia nini
2026-09-27 22:40:33
0
Gaëlle❤️🍫 :
Yoooo mungu nifundishe ku hesabu siku zangu
2026-09-27 11:35:22
0
Smesha_actress🦋❤ :
KIFO ni safar ya watu wote EE MUNGU WANGU naomb unipe MWISHO MWEMA