@planetenglishclub: Kuwa na elimu kubwa ya chuo kikuu SIYO kigezo mahususi cha kujua kuongea lugha ya Kiingereza. Walimu wengi wanafundisha Kiingereza lakini hawana uwezo wa kuwajenga watu wajue kuongea vizuri. Shida ipo kwao na mifumo pia. Amua leo kujiunga nasi uanze safari ya kuyafikia matarajio yako.