@unspokenties_podcast: @ahmedally_ “vijana, oeni wale mnaowapenda ili na nyinyi mpate utulivu.” Chagua mtu ambaye mnaweza kuaminiana, kuheshimiana, kusikilizana na kuvumiliana, kwa sababu uzuri wa ndoa hauishii kwenye sherehe, maisha halisi huanza baada ya sherehe. Je, upendo pekee unatosha kuamua mtu wa kumuoa au kuolewa naye,? Host: @sellamkisi Guest: @ahmedally 🎥 @selphix_media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media uweze kutazama Episode kamili. Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zinazogusa Elimu, Jamii na Burudani Zaidi.
UNSPOKEN TIES TANZANIA
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 10:12:01 GMT
Music
Download
Comments
MTANGANYIKA :
mashaallah
2026-09-27 17:09:13
0
latifa :
Fanya niyasemayo usifuate niyatendayo😁
2026-09-27 14:02:11
0
xchn :
yeye anaogopa lkn anawashauri wenzake
2026-09-27 11:31:05
0
most wanted :
fact
2026-09-27 11:28:12
0
Debora :
🤦🏾
2026-09-27 10:52:56
0
To see more videos from user @unspokenties_podcast, please go to the Tikwm
homepage.