@kanikibrown: Kwa nini umekuwa mpambe wa Serikali..? Odemba amuuliza Balile 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 10:13:37 GMT
21976
565
19
14

Music

Download

Comments

kitojo04
Kitojo :
Balile upo sahihi 100% Uandishi wa habari sio Uanaharakati
2026-09-27 14:20:43
1
josephtesha00
josephtesha00 :
hujitambui boss wangu hilo ndilo maoni yangu juu hatuishi milele
2026-09-27 11:34:41
2
sanga.og31
sanga og :
wanajidanganya ila inamiza sana
2026-09-27 11:55:27
2
mr.vicent0
Mr vicent :
Khalifa anacheka kwa mbali 😂
2026-09-27 12:57:01
1
lenijuli0
lenijulius19 :
cku zote kiongozi wa kundi furani anapochallengiwa Huwa anakuwa mkali
2026-09-27 21:04:07
0
the.grand34
The Grand :
mbalileeeee
2026-09-27 16:23:40
0
moses.mwambene8
Moses mwambene :
ccm unamuuliza hiki anajibu kingine,arafu wanajiona wanaakiri sana
2026-09-27 19:05:23
0
user8462498124940
user8462498124940 :
Balile hujibu unachoulizwa unatoa maelezo meeengi unapoteza maana ya unachoulizwa afu ukijieleza maelezo mareeefu saaana unaanza kutushtua hata tunaokuelewa
2026-09-28 00:39:52
0
abdullah.salimu08
Abdullah Salimu :
yaan niny hatar anachoulizwa anajib tofaut
2026-09-27 13:40:24
0
cletus.john4
Cletus John :
balile kwan amuwez kumbadirisha mn miaka yote yuko yy tu
2026-09-27 12:45:16
1
thedon203
khanjr :
usiombe ukutane na ODEMBA
2026-09-27 14:43:56
2
yohanampenda690
yohana Mpenda690 :
odemba apo umepiga kichwani
2026-09-27 12:50:40
1
user8249134183606
user8249134183606 :
toka anaanza fani ya habari ni mpashukuna na maimuna wa ccm
2026-09-27 10:46:02
1
shadreckhaule
Shadreck Haule :
wanaogopa kupotezwa wameamua wawemachawa wa viongozi
2026-09-27 21:20:19
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About