@ulimwengu_wa_simulizi: PASTOR KITUNDA part12 TUENDELEE KUFOLLOW account hii ili kunipa nguvu ya kuleta muendelezo like na comment pia🙏🔥 FOLLOW ACCOUNT YANGU MPYA HII KUNA SIMULIZI KALI INAITWA AMANDA👉@DUNIA YA SIMULIZI
na kweli wanamaliza ndugu zetu ajari kila mahari ni AI ila inafundisha Ee Mungu nilinde mimi na familia yangu na marafiki walio hai kwa mkono wako kwa jina la yesu ameni
2026-09-27 13:13:35
47
inno da santos :
leo mimi ndo kwanza hahhaha☺️☺️☺️☺️
2026-09-27 10:20:25
8
. :
esque les histoires de la sorcellerie l'état connais😂
2026-09-27 11:05:31
6
🦋Hashrynaa🦋💋 :
Aaah leoo mapm em niangalie mie
2026-09-27 10:30:46
8
amara :
duh kumbe ndomana mwisho wa mwaka kunakua na mambo mabaya mengi😳
2026-09-27 11:46:47
8
nickshan_tz :
Wa kwanza
2026-09-27 10:19:51
19
Shuu Sagittarius ♐️ :
Asije kigoma kitunda jmn
2026-09-27 11:24:38
7
pepeo :
leo nimekuwa wakwanz naomba unitagi
2026-09-27 10:23:47
8
P cute♥️ :
Jaman imenifata yenyewe oooh🙄
2026-09-27 10:24:27
5
BABY G :
leo nimekuwa wa kwanza mni like
2026-09-27 10:22:03
7
Muzdalfa Mwacha :
next prees
2026-09-27 21:07:56
1
CUTE♥️♥️ :
nimechelewa jamani
2026-09-28 06:13:20
1
Ammie__113 :
mbn hii stor inanifata San jmn🥺
2026-09-27 15:43:00
0
MAMAKE PRIZYN :
mtu si anifunze kuunda hizi AI videos 🥺
2026-09-27 14:32:48
1
To see more videos from user @ulimwengu_wa_simulizi, please go to the Tikwm
homepage.