Shangazi ashafikisha ujumbe sasa kamnyanyase atakuja bila usafiri
2026-09-27 11:56:29
122
janereggany :
nipewe shangaz kama huyu
2026-09-27 12:28:17
76
kiyao🧿 :
huyu Shangazi yetu wote na misimamo yake
2026-09-27 12:36:46
108
🌿Awetu mgomba🌹 :
tuletee ya mzigo[Heartwarming]
2026-09-27 16:44:18
0
i'm koku💚💚 :
nikajua mama dangote😂
2026-09-27 15:36:40
22
mmaganza90 :
bi harusi haamin masikio yakeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Wahehe banaa hatutakii madharauuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] MC nayee etii KUMEKUCHAAA[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 17:23:57
0
MOME 🌸 :
Muhusika wa shughuli mwenyewe kashangaaaa 😂💔
2026-09-27 12:32:05
30
Mc mzava Og 👊 :
shangaz kumbe mzungu bhn🤣🤣
2026-09-27 12:02:34
31
roly bakery 🍞🥖🍰🧁 :
Wif tunae tuna tam a nae jana tume mchukua tayali ila xhngaz 😂😂😂🙌🙌🙌
2026-09-27 13:05:41
1
yogirl phephe♎️✨ :
Ila shangaz kachangamka hatar😂
2026-09-27 12:15:42
21
Leah njinge :
mpaka bibi harusi mwenyewe haamini kinachoendelea😅😅
2026-09-27 12:19:09
61
berto_ :
Ila WANYAKYUSA 😅
2026-09-27 13:07:07
24
sashma cute🌹 :
Nd maan nataka nigombane na shangazi zangu kabla sijaolewa ili wasikanyage kwenye harusi yangu😂😂😂 ikiisha nawaomba msamaha😂😂😂🙌
2026-09-27 16:37:49
5
Mode Deo :
tunavyochagua mahali pa kufanyia sherehe, mc nani mpishi, mziki, tusishahu kuchagua na ni nani atakua msemaji siku hiyo
2026-09-27 12:27:55
23
Official 290 :
ambao tulikuwa tunatafuta part 2 kama mimi gong like hapa wabongo wenzang
2026-09-27 15:40:20
9
Tunduma vitenge :
Mwalusamba wenyewe wameshapata Mtu mwenye Misuli ya IMANi mmoja🥰🔥🔥🔥
2026-09-27 12:53:21
5
✨RihClou baby💕✨ :
inatakiwa iwe hv sio mambo ya uswahili uswahili
2026-09-27 14:31:31
7
Arafa Ally :
bi harusi kafanana na shangaz yake
2026-09-27 11:59:58
10
Dee🥰💘love📞♥️ :
msimamo safiiiiiiiii
2026-09-27 12:04:41
8
winladynjau :
Me mempenda bure...Mependa hapo Yesu tunae🥰🥰
2026-09-27 13:03:09
5
To see more videos from user @medy_gallery, please go to the Tikwm
homepage.