@matukioonline_tv: MAONI YA BYCOLA KESI YA LISSU IKIELEKEA UKINGONI Mwanaharakati Bycola ametoa maoni yake binafsi na huru kuhusu mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza mtazamo wake kuhusu hatua ambayo shauri hilo limefikia. Maoni hayo yanatolewa wakati kesi hiyo ikiwa katika hatua ya hoja za mwisho mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya upande wa utetezi kukamilisha ushahidi wake. Lissu kwa sasa anaendelea kuwasilisha hoja za mwisho akipinga madai yanayomkabili. Katika maoni yake, Bycola amejikita katika kutathmini mwenendo wa kesi hiyo,ushahidi uliotolewa Mahakamani,Utetezi wa Tundu Lissu na namna hatua zake za mwisho zinavyoweza kutafsiriwa kwa mtazamo wake binafsi. Kauli zake ni maoni yake binafsi na hazipaswi kuchukuliwa kama uamuzi wa Mahakama. Kwa sasa, uamuzi wa mwisho kuhusu hatima ya shauri hilo unabaki kuwa jukumu la Mahakama baada ya kusikiliza hoja za pande zote na kutathmini ushahidi uliowasilishwa.

Matukionline Tv
Matukionline Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 11:00:47 GMT
150353
5549
259
158

Music

Download

Comments

user70290037188
Raji mnilliy hussen :
we acha izoo
2026-09-28 01:44:59
0
mbalaka.nyange
mbalaka nyange :
mada irikuwa ivi,#@Wewwsjjdjsjsiswhshxhdhdzrieoeurdjdjdjdoruzzehehdhdskshddhsussisdhixd83626ewzwwbshsdduddbd
2026-09-28 10:29:41
0
iddy.mohmmed
aleksanda josefat :
tumekuchoka
2026-09-27 12:41:17
41
saidia.fundi5
Saidia fundi :
This madam is very contemplent
2026-09-27 19:10:24
0
elly_thegenius255
Elly, thegenius :
[Innocent][Innocent]wao wakina nani??
2026-09-27 17:40:37
0
victoria.gl20
Victoria GL :
tumswalie mtume
2026-09-27 14:33:53
25
chitalasita
Robert :
so,what!
2026-09-28 07:58:36
0
h.mtundu
H. mtundu :
we dada usifurahie matatizo ya mwenzako
2026-09-28 06:35:41
6
chumvi_02
Prosper_02 :
mie kabla sijaimaliza hii video nishaga mkataa huyu sister always yupogo upande wa serikali haukai balanced
2026-09-27 16:06:36
15
officialgodinho36
OG🇹🇿45 :
Mr president 💪💪
2026-09-27 16:24:04
1
sevens958
Yomi Suma Neda :
Kwaiyo walio huwa watu nao wameshtakiwa wapi 😂😂😂
2026-09-28 01:27:41
1
jasholamende
jasholamende :
Kwani P2 zamani hazikuwepo jamani
2026-09-27 18:13:24
5
david.makolo5
Jobless Millionaire :
Tutakufwatilia.
2026-09-27 12:36:45
6
emmahneymar1
Emmah Neymar :
wewe unakosea sana na unachokiongea wewe mwenyewe vinakinzana. maana ok alitishia raisi raisi yupi na ilikuwa ni kipindi Cha uchaguzi na Kwa kipindi Cha uchaguzi raisi hua anaacha madaraka na kwenda Tena kuomba kura Kwa wananchi na ndo akipita anakuwa raisi Sasa huyo raisi alietishiwa ni yupi na uchaguzi ni upinzani kati ya chama na chama. ok tuseme alitishia it's ok na je walioandamana njiani walikuwa ni wanachama wa chadema? kama ni hapana au ndio tunaomba udhibitisho. na tuseme ok alihamasisha je wananchi waliouwawa na DAMU zilizomwagika Kwa kuuwawa na askari waliopo chini ya mamlaka hiyo mamlaka na yenyewe pia ipewe adhabu yake Kwa kuuwa na kumwaga DAMU zisizo na hatia.
2026-09-27 18:25:16
6
user1776828376902
❣❣linny💥 :
kwahiyo apo wew unataka kusemaje
2026-09-27 22:13:29
3
user34281331266124
Ak :
munguu atamjalia kheri
2026-09-27 14:03:23
8
user68678503789
daudi :
sasa kinacho kuchekesha ni nn
2026-09-27 13:16:14
9
abdultraveltour1
travel :
Kwahio ndio unachekelea sio
2026-09-27 16:40:06
5
mlimbo1
magie :
samahani dada anaekufila mwenyewe kwani anasemaje🫠
2026-09-28 05:21:11
10
chumadede202
chumadede :
sasa wewe unasema neno wao wenyewe walipost,walisema,wao wenyewe ni wakina nani,alafu kuna uhusiano gani kati ya chadema na maandamano
2026-09-27 11:20:53
5
richardderefa
Richard Derefa :
Anaekufira mwambie aongeze
2026-09-28 01:46:36
1
michaelkimaro763
Michael kimaro :
Kwa hiyo we unataka nin
2026-09-27 20:10:53
4
asia.mbuki
Asia Mbuki :
ziongozi wangapi wa sisiem wameongea maneno yakututishia nawara sowasemaji watishio
2026-09-27 13:52:20
4
metana2000
Robert Metana :
Acha uongo Lissu hawezi kubembeleza majaji kwenye kesi ya Uongo.
2026-09-28 06:48:31
4
yusuph_dunga
Dunga :
Tutakufuatilia
2026-09-27 15:05:11
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About