muda mwingine masheikh wetu huwa wanatuchanganya Sana,🤔
2026-09-28 08:29:40
0
Myrah khan :
sas kama mtume s a w hakufanya nani alioanzisha izi mamb
2026-09-28 07:51:09
0
Ally iddi :
Allah atujaalie mwisho mwema 😌😌😌
2026-09-27 13:04:19
0
salma.k.k :
Ninani atakae tupatia chakula sisi wafiwa dunia ya sasa sio ya enzi hizo maisha magumu baba
2026-09-28 12:04:01
0
Baby haa♥️🌹 :
Allah akubarik
2026-09-28 10:02:17
0
khajra :
nakupenda kwa ajli ya allah
2026-09-27 18:20:34
0
user26302811337061 :
ni ukweli hakuna kusomewa quraaan maiti
na kupika pilau hiyo ni bid,aa
2026-09-28 10:37:15
0
shazla💕 :
Allah Akbar
2026-09-27 21:47:37
0
Adnan Mohamed :
allahamdulillah [Pray]
2026-09-28 07:02:30
0
hhati bura :
lailah
2026-09-28 05:44:55
0
@hawaathebosslady :
Yaani mashekh wetu wanatuchanganya Wallah🤷
2026-09-28 09:54:11
0
Miss_Rey8 :
allahu akibar
2026-09-28 03:53:14
0
rayyan :
jaman tukingoja kuletewa si tutalala na njaa
2026-09-28 10:48:34
0
casanover :
mashalah
2026-09-27 14:36:16
0
molin459 :
Allah Akbar
2026-09-28 06:08:00
0
KING :
Kuna hadithi iliyopokelewa na Imam At-Tirmidhi, ambapo Sahaba mmoja alipiga hema lake mahali fulani bila kujua kuwa chini yake palikuwa na kaburi. Ghafla, akiwa ndani ya hema, alisikia sauti ya mtu aliyekuwa ndani ya kaburi hilo akisoma Surat Al-Mulk (Tabaaraka) kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Alipoenda kumwambia Mtume (ﷺ), Mtume alimwambia kuwa sura hiyo ni “Mazuio na Mwokozi” inayomuokoa mtu na adhabu ya kaburi
vp ukimsomea ndugu Yako , acheni kutuchanganya
2026-09-28 13:22:48
0
KING :
﴿وَالّذِينَجَاءُوا مِن بَعْدِهِمْيَقُولُونَرَبّنَا اغْفِرْلَنَا وَلِإِخْوَانِنَا الّذِينَسَبَقُونَا بِالْإِيمَانِ وَلَا تَجْعَلْفِي قُلُوبِنَا غِلًّا لِّلّذِينَآمَنُوا رَبّنَا إِنّكَرَءُوفٌ رّحِيمٌ﴾
Na mchele tunakula na wahenga hamtoamini
nyie Kila kitu bidaa , basi hata kuvaa jinzi mtasema bidaa , maana Mtume hakuvaa , msituchanganye
2026-09-28 13:18:45
0
nusura nusura :
🥰🥰🥰
2026-09-27 16:56:43
0
Ramjaniy :
🙏🙏🙏
2026-09-27 18:56:21
0
@true storry robby :
♥️♥️♥️
2026-09-27 19:34:27
0
nusura nusura :
🙏🙏🙏
2026-09-27 16:56:40
0
mawila :
😳😳😳
2026-09-28 13:33:44
0
To see more videos from user @omarirashid546, please go to the Tikwm
homepage.