@muslim02130: Mtume Muhammad (S.A.W) alisema katika Hadithi Sahihi iliyopokelewa na Thawban (R.A): "Mwanamke yeyote anayeomba talaka kwa mumewe bila ya kuwa na sababu ya msingi (inayokubalika kisheria), basi harufu ya Pepo ni haramu kwake." #tiktokkenya #islamic_video #muslsm02130 #tiktoktanzania #tiktikviwes