@koku.story56: MACHOZI YA TINA SEASON 5 PART 57 LIKE,SHARE, COMMENT #viral #burundi #kenya #tanzania #viralvideos
koku story
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 11:37:03 GMT
Music
Download
Comments
yusterluca70 :
dalili ya kuachwa hii team tina kwetu nifuraha😃
2026-09-27 11:48:20
138
Chanella sacha :
next plz
2026-09-27 12:08:13
0
🌹last.born💘wa baba🫀 :
Team Tina niongee kwakukaa au kwakusimaa😁😁
2026-09-27 12:31:24
22
Divine Suleman :
next please
2026-09-27 18:54:56
0
Asna Hassan :
jaman mkuje huku kwa motoooooo
2026-09-27 11:48:56
21
Meenah :
Next plz nzur mno
2026-09-27 12:52:52
1
Justine merry sama :
mimba ayipo
2026-09-27 19:09:30
0
pretty moureen :
next pls
2026-09-27 11:45:14
0
Joyner di :
nilitaka kuona machozi ya erick najikuta namuonea huruma
2026-09-27 11:50:28
19
Esha :
uyo sio mke tapeli muombe msamaha tina ♥️
2026-09-27 11:41:16
12
marselinarweyemamu :
Ai mnatuonaje? queen c alikuwa na mimba tena ya mtt wa kiume
2026-09-27 12:24:02
6
@am favoured :
koku toa nne kwa siku
2026-09-27 11:47:08
2
TATYANAH KHAN❤️ :
JAMAN MBONA FUPI IVI
2026-09-27 11:45:21
5
Daughter🇹🇿 :
uyo kama mimi sinaga hisia kabisa😂😂😂natamani kuishi na mume kama kaka na dada
2026-09-27 13:05:32
6
#MAMUU UREMBO 👜💍💄🕶️ :
vipande ni vifupi sana au mm tu ndio naona ivi🤔
2026-09-27 11:46:14
6
bihuluomar :
wawooo Eric kashaanza kumjutia Tina nahyo ndio furaha yangu 🤣
2026-09-27 12:33:12
5
user80859572294317Raheli :
kumeanza kuchangamka
2026-09-27 12:27:41
1
afam suleiman :
tina mungu atakulipia
2026-09-27 13:52:11
1
smile 😊😊 :
Erick sasa analijuwa jiji
2026-09-27 12:24:03
1
Aysher 💞 :
vipande vifupi🥲
2026-09-27 12:12:56
2
pretty Anitha :
bado hujajuta Erick
2026-09-27 12:11:12
5
NYAR Guya :
kwani mimba haiko tena
2026-09-27 12:16:09
1
Pretty :
kimeumana, alafu Ai wanatuchezea akili zetu eric fanya jambo basi
2026-09-27 12:36:02
1
Mama B :
kumekucha rudisha pesa yetu
2026-09-27 12:01:07
3
Neema Mmbaga572 :
Majuto ni mjukuu nipo na nyie mpaka mwishoo
2026-09-27 12:28:25
2
To see more videos from user @koku.story56, please go to the Tikwm
homepage.