nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa maana wewe upo pamoja nami
hii itafaa🥰🥰
2026-09-27 15:01:29
321
Ms Obimoh🦋 :
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu wafilipi 4:13
2026-09-28 05:48:42
147
dynah543💜 :
sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo makuu ya Mungu.
2026-09-27 18:53:32
98
tipitipy❤️🦋 :
Sitakufa bali ntaishi nami nitayatangaza matendo ya BWANA Zaburi 118:17.
2026-09-28 09:30:10
137
zuuh❤❤ :
naiona kesho iliyopangwa na Mungu
2026-09-27 17:05:22
24
ALPHARD :
bwana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu
2026-09-27 14:33:40
53
Truemoments Studio :
Zaburi 23:4
[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Yea, though I walk through the valley of the shadow of death, I will fear no evil: for thou art with me; thy rod and thy staff they comfort me.
2026-09-28 12:57:49
9
mallya :
when you think it's over God send a miracle never give up 🙏
2026-09-27 14:56:46
7
wakudata_tz :
Isaya 41:10 — “Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe… nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia.”
Yoshua 1:9 — “Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike, kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe.”
Zaburi 46:1 — “Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.”
2 Timotheo 1:7 — “Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu, na ya upendo, na ya moyo wa kiasi.”
Zaburi 28:7 — “Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu; moyo wangu umemtumaini, nami nimesaidiwa.”
Warumi 8:31 — “Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu yetu?”
2026-09-27 19:11:58
18
Atughanile Nelson :
kila silaha itakayofanyika juu yako haita fanikiwa
2026-09-28 02:06:43
5
Champion 777 :
Er Mungu pigana nao wanaopigana nami
2026-09-27 17:10:07
6
Dylan Peter :
kila mtu anapambania maisha😅😅
2026-09-27 17:55:07
7
Leslie Mgimba :
nijapopita ktk bonde la uvuli wa mauti sitaogopa....
2026-09-27 13:43:27
7
@ Charmie fe_fe 🌹 :
Sitakufa bali ntaishi nami nitayatangaza matendo ya BWANA Zaburi 118:17.
2026-09-27 18:43:07
16
BF's_Salon@ :
Namshukuru Mungu sana leo nimepata ajari ya pikipiki wakati natoka kazin ila nimepona kwa jina la YESU… yan ajali ya leo naamini ni Mungu tu aliyeniponya🥹🥹🙏🏽🙏🏽
2026-09-27 22:04:40
16
Edson Edgar :
Bwana atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kmya kutoka 14:14
2026-09-27 20:24:30
8
Goodboy😎😎 :
nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa maana wewe upo pamoja nami
2026-09-27 14:39:51
5
shalom JESUS :
Isaya 54 kila silaha itakayo fanyika juu yako haita fanikiwa😊
2026-09-27 17:02:42
6
🦋🥰 :
Kutoka 14:14 🙏.bwana atawapigania nanyi mtanyaza kimya.
2026-09-27 18:44:21
7
Babu T :
nimefurahi lakin sijaupenda mfano wako
2026-09-27 18:09:12
5
NEVERMISS BWOY THE EAGLE :
SUVERVOL 4 THE FITEST☝️
2026-09-27 18:46:48
1
Savera Paskal Dino :
Warumi 8:31🥰
2026-09-28 17:15:16
4
mdony. :
wakat WA mungu ndio wakati sahihi
2026-09-28 13:53:24
3
tee :
yeremia 33.3 niite nami nitakuitikia,nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajuwa
2026-09-28 15:07:10
2
had :
ila content
2026-09-28 14:39:55
2
To see more videos from user @paskal_dino, please go to the Tikwm
homepage.