@africatv.2: “HAIRUHUSIWI KUFANYA HIVI MISIKITINI” #trending #shorts #reels #viral #trendingreels #Ulizaujibiwe

Africa TV2 Swahili
Africa TV2 Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 12:05:46 GMT
7661
426
16
28

Music

Download

Comments

mansooralmas3
mansooralmas409 :
sasa kutangaza kifo tukatangazie wapi sasa
2026-09-28 06:59:13
1
kulwa.mselemu
Kulwa..Jm :
samaha shekh wangu kuna misikiti inatangaza mpaka mambo ya mpira Utasikia Simba leo anacheza au Yanga...
2026-09-27 20:01:38
0
user406191313261
hussein :
namusheh Allah akulipe kila la kher kwadaw nzr
2026-10-13 15:04:39
0
s.h.f524
S H F :
Tunafamu ya kuwa Wakati w mtume SAW - msikiti ulikuwa ni sehemu / makao makuu ya uislamu ki siasa , Uchumi na kijamii 1 center ya uislamu ilikuwa ni msikiti ,,, Kama ni hivyo je Wakati huo walikuwa hatoi matangazo yeyote ??
2026-10-01 20:14:56
0
ashraflemah
ashraflemah :
uko sahihi sheikh
2026-09-28 08:36:24
0
mayele119
white coast :
shaykh sisi kwetu ni kama saccos kila mwenye lake anachangiwa vipi hapo
2026-10-14 12:09:57
0
dinhaji
dinhaji_43 :
daa
2026-09-28 07:31:36
0
paczack
Zack :
huu ndio utahira tulionao
2026-09-28 07:13:26
0
jamalshali07
MUTAELEWATU :
mazishi tutatangaza sisi
2026-09-29 14:32:00
0
mwinyihaji40
Allah Jabar :
misikti ya bidaa ndio tabia zenu, ni misikiti ya chama cha siasa hyo achana nayo
2026-10-25 03:52:55
0
hajji.mazumbe
HAJi MAZUMBe :
🥰🥰🥰
2026-09-27 13:38:04
0
yusuph7700
🤲یسف 💘حسن 🇹🇿🇿🇦 :
😂😂😂
2026-10-20 00:35:20
0
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About