wallah najikuta moyo mlaini nikisikia kauli za masafi wakiwa wanawekana sawa
2026-09-27 12:21:06
8
Abuu lmughirat :
Allah Awahifadhii Mashekhe Zetuu Daawatu Salafiy... Nimesikia Simbaa Shekhe kassimu mafuta Allah Amuhifadhi
2026-09-27 18:01:10
5
mahad bedui :
nawapendaa sanaa masalaf
2026-09-27 16:55:09
5
HATIBUAMIR330 :
Allah awahifadhi mashehkhe wote wa kisalafy
2026-09-27 12:45:24
7
ONLINE_ FASHION_ KANZU⛎ :
ALHAMDULILAH
2026-09-27 16:35:13
3
chikale vitambaa,, :
Allah awahifadhi mashekhe zetu wote wakisalafy
2026-09-27 12:34:09
6
Thabeet Joackim :
Nour halisi ya uislam
2026-09-27 13:05:56
5
bin najim abaya :
hapa ndio utajua masheikh walio simama ktk hak wakielekezwa wakinasihia wanaelewa na wanajua kua wao ni binadam na wanateleza jambo hili huwezi kulipata kwa makhurafi
2026-09-27 17:43:24
4
NawadhTronics :
Allah awahifadh ma shekh zetu
2026-09-27 12:55:33
4
uhuru wa kifikra :
allaah awape nguvu naimani thabiti kwa hakika tunajifunza mengi pamoja kua hatupo darasani
2026-09-27 18:00:50
2
shafii Rashidi :
alhamdulillah
2026-09-27 15:16:38
2
Mohammedi Abdul naheka :
mashaallah
2026-09-27 18:11:15
1
Dr.Engineer :
ALAHAMDULILAH
ALLAH AWAKUBALI NA AWAHIFADHI
2026-09-27 16:15:18
1
Yusuphu Adamu :
allh awahifadhi masheikh wetu na awabaariki
2026-09-27 20:31:57
0
KANZU BRAND :
Alhamdulilah
2026-09-27 14:07:59
2
rajabu :
Mashaa ALLAAH
2026-09-27 17:48:35
0
Ahmedi Tz :
Mashallah
2026-09-27 17:59:33
1
ABUU NAJMA :
hii ndio neema ya dawatul ambiyai
2026-09-27 12:59:28
0
𓆩 𝘼𝘽𝙐𝙐 𝙐𝙔𝘼𝙔𝙉𝘼𝙃 𓆪 :
Alhamdulillah
2026-09-27 17:44:38
0
Abuu Mu'ad Assalafiy As Sūmãli :
Alhamdulillah Allah atuhifadhie masheikh zetu.
Hili liwe funzo Kwa sisi wanafunzi kuparamia na kujiingiza katika UTATA wa walimu zetu
2026-09-27 19:45:00
2
Abuu dhul_yadain :
Mashaallah, Hakika Hakika hii nida-awa kubwa sana kwetu sisi Awwaamu nnaas
Yaarab twakuomba uwahifadh mashekhe wtu hawa ili tuweze zd nufaika na Da-awa hii mubaaraka.
2026-09-27 20:40:41
1
ibnu twalib mosha :
alhamdulillah tunashukuru Allah awahifadhi masheikh wetu mm niko na furaha sana
2026-09-27 20:57:55
1
abuu mahiri rajabu :
Allah awahifadhi mashekhe zetu wote wakisalafi na awalinde kutokana na mahasidi
2026-09-27 16:27:32
3
ABUU MUHSSIN :
👏👏👏👏
2026-09-27 18:57:52
0
To see more videos from user @usalafinikwetu, please go to the Tikwm
homepage.