@drhamadatibaasilitz: #USIPITEHAPA: FAIDA ZA MAJANI YA MNYONYO (Castor plant) Chukua majani haya ya kutosha, yakamue kwa maji au yaoshe kwa maji, au yayaponde kisha changanya kwenye maji yako ya kuoga. Itakusaidia kumaliza nguvu hasi au sihiri ndani yako, mikosi na zohari mbaya, Vifungo.. 👉KWA MVUTO PESA Pia kama wewe hupati pesa, hupati kazi, hupendi na watu na hasira za haraka, au unachukiwa, au huwa unaota ndoto za kutisha, kula usingizini, n.k Ponda majani ya mnyonyo pamoja na karafuu, kisha weka mchanganyiko huo kwenye maji yako ya kuoga. Oga siku JUMATATU mfululizo. 👉Mmea huu una nguvu sana ya kuogopesha nguvu hasi (negativity). Kama unashambuliwa ndotoni kila usiku, weka jani pembeni ya mahali unapalala 😴 👉Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k). Tumia majani ya Mnyonyo kwa kuyapasha kwenye moto kisha unafunga eneo lenye maumivu, au pasha kisha sugulia kwenye eneo linalouma kama anayepasha mwili .Wakati huohuo ukiendelea na chai ya majani yake kikombe kimoja mara mbili au tatu kwa siku .Chemsha majani kwa dakika 15-20 kisha kunywa . 👉Kwa matatizo ya ini: Kausha majani upate unga wake , tumia kama chai kwa siku 21 hadi 56 👉Kwa matatizo ya hernia- Mshipa wa ngiri: Tumia chai ya mizizi kwa kunywa kikombe 1 mara 3 kutwa .waweza pia fanya mizizi hiyo kuwa unga kisha kijiko kimoja cha chakula au vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha maji ya moto kila siku kwa siku 21 hadi 30. 👉Uume kusinyaa au kusimama legelege:Tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa. Tahadhari usijichue.Anza kwa kuchua kwa kitambaa safi cha pamba au chochote kisafi unakiloweka kwenye maji ya moto yasiyounguza sana kisha kanda uume wako polena taratibu kwa dakika 3,4 au 5 .Baada ya hapo tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa. 👉Maumivu ya maungio au viungo au joints: Paka mafuta kwenye mikono yako kisha pasha mikono yako kwenye makaa ya moto na kisha kanda (chua) eneo lenye maumivu mara 2 kutwa... 👉Warts/ sundosundo/ Chunjua: Paka mafuta ya mnyonyo eneo lenye sundosundo.. 👉Kukosa choo - Constipation Weka 2 ya majani ya mnyonyo kwenye maji ya moto kikombe 1 kisha kunywa asubuhi na jioni . Angalizo hapa Kaa karibu na choo, FUSO itakata break, Dereva hataweza kuhimili usukani! Ni mhimu sana kuwa na majani ya mnyonyo nyumbani kwako #Whatsappnumber #255793889562 #drhamada #bingwatibaasiliTanzania
Dokta.hamada.msemakweli
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 12:11:09 GMT
Music
Download
Comments
hamim :
mafuta unatengeza vip
2026-09-28 05:13:17
0
Sauda Khan❤️💕 :
kaka angu mie mungu akupe maisha marefu ameen
2026-09-28 11:10:09
0
kuruthum hassani :
inshaalllah
2026-09-28 04:49:07
0
Rahma Zengo :
amiiii
2026-09-27 18:55:36
0
salum Aly kiambakilo :
inasadia Nini jamni
2026-09-28 07:07:08
0
salome :
kila Jumatatu tu au siku gapi
2026-09-28 08:49:47
0
Madame Zuuh the bawse :
thanks,blessed
2026-09-28 06:31:03
0
Kudra Muhammad :
jazzaakar khaira
2026-09-27 13:22:10
0
King 👑 Fahad :
lnshaAllah 🙏🙏
2026-09-27 17:22:26
0
ley :
Allahu aqbar
2026-09-28 09:30:09
0
peggymgala :
🙏🙏
2026-09-27 18:55:33
0
To see more videos from user @drhamadatibaasilitz, please go to the Tikwm
homepage.