@econnectofficials: Hapa hatuishii kudance tu bali tunabadili kipaji kuwa fursa. Huyu ni moja ya binti mwenye kipaji kikubwa cha kudance, kuigiza na kuimba. Wazazi nao hawapo nyuma kwa sababu tayari wameshaelewa ukubwa wa fursa za vipaji. #EConnect #CTM #StudentTalentToOpportunity #fyppppppppppppppppppppppp #viralreels