ostadh kama mimi nakopesha nguo nataka wateja wawe wengi na wanilipe kwa wakat inafaa kuitumia hii duwa
2026-09-27 13:42:27
1
faa☪️💟 :
na mwanaume wangu nampenda nataka anioe nifanyeje nielekeze sunna yenye majibu ya haraka shekh nataka aje atangaze ndoa yy mwenyew
2026-09-27 12:37:20
2
user6013388651120 :
nataka nimuombe boss wangu rial 5
2026-09-27 13:15:46
1
maliyhahussin :
Shukran saana shekh Kwa darsa zako nzuri
2026-09-27 13:26:34
1
hadija msanya :
Inshallah
2026-09-27 12:53:10
1
Saada Masoud :
baada ya hapo yale maji yaliyobaki unayafanyaje?
2026-09-27 12:40:51
1
Dazai :
Allah akubariki akuzidishie imaan na elimu uzidi kutufundisha AmeenAmeenAmeenAmeen AmeenAmeenAmeenAmeen 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-27 12:56:31
1
. :
mtu anijibu jmni
najikuta nna hasira na kukasirika bila kuudhiwa...sitaki ata kelele ya tv na nataka tu kukaa pekeangu 😩
2026-09-27 14:13:47
0
rehema iqram :
je kama upo kwenye hedhi siwezi fanya hivo
2026-09-27 13:19:38
0
Suuh :
kwa kumtumia msg je haifai
2026-09-27 12:31:33
0
lnahajji abdulaziz :
MANSH"ALLAH
2026-09-27 12:57:00
1
lnahajji abdulaziz :
Wcs
2026-09-27 12:56:50
0
lnahajji abdulaziz :
MANSH"ALLAH
2026-09-27 12:57:17
0
lnahajji abdulaziz :
MANSH"ALLAH
2026-09-27 12:57:04
1
Thrift in Bamburi :
Bismillah
2026-09-27 13:21:15
0
Qiyam_Layl🤍🌙🇺🇸 :
hii aya tulkua tunaisoma tuna kamata nyukii hazituumi😁
2026-09-27 12:57:28
2
TEEJAY :
shukran sheikh....Wallahi nmesomea maji mda huu na nikafata taratibu zote wallahi nmeomba elfu tano kwa mtu....amenipa bila maswali mengi
2026-09-27 13:58:59
1
Daud Bakhresa :
na Kwa chupa
2026-09-27 14:57:12
0
Saumu Rasheed :
chukua udhu chukua glass somea alamnashiraha mara 7 alafu kunywa fundo tatu mengine jipake mwili mzima alaf somea suratfil ujifika kwenye tarmihim rudia mara Saba alafu mpigie mtu umuombe pesa kwa idhini ya Allah
2026-09-27 14:20:07
0
aminahaji362 :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-27 13:50:41
1
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.