@magufuli.3: MWENYE NCHI BABA YETU #duet #tiktok #fyp #freestyle

Jitu baya
Jitu baya
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 12:47:52 GMT
36426
2968
94
99

Music

Download

Comments

joshpwani
joshua54041 :
mimi ni mkenya lakini i can feel for Tanzanians. this man was a true leader
2026-09-27 21:05:18
0
user71207160070875
Ali :
miss you uncle maguu
2026-09-27 18:42:23
0
reelmantz
Reel Jr. Tz🇹🇿 :
one of the best legend we use to have rest easy papaa
2026-09-27 20:22:44
0
abbas.kumpuni
abbas kumpuni :
We Miss U 🥹🥹😔😔
2026-09-27 18:04:41
0
ramazanisaidi121
ramadhani sadi :
mwamba
2026-09-27 20:35:19
0
hijamabalaa.tz
Hija mabalaa :
hakika wewe dada wewe kaka wewe baba wewe mama wewe ulie pata kusoma coment hii jitahidi sana kulinda kile ulichopewa na mungu pengine kwasasa una kiona hakifai au cha kawaida tyu lkn siku1 kitakapo ondoka ndipo utagundua umuhimu wake na hautakuwa na uwezo wakukirudisha teena...
2026-09-27 16:59:07
11
user533377247690
Glory to God 🥀🥀🇹🇿☀️☀️☀️ :
respect xaan
2026-09-27 18:28:57
0
user5113279211300
said master45 :
anae mkumbuka uyu mwamba gonga like hapa
2026-09-27 15:27:33
19
gloryatu
gloryatu :
hii furaha itarudi lini
2026-09-27 19:00:49
3
user93612462781203bri
brilliant :
dar magu kama utani baba
2026-09-27 14:49:05
7
pastory.luchagula
Pastory Luchagula :
alikuwa nguzo tena sio ya mti chuma namkumbuka sana
2026-09-27 14:57:38
17
mohamediabdul54
Mohamedi Abdul :
oh...marehemu rais wetu 😅😅
2026-09-27 14:38:07
2
amosnyamaka
Amos Nyamaka :
unaweza hisi ataridi ila ndo hvyoo
2026-09-27 15:04:16
3
agustno22
agustno :
da mungu hakulaze mahala pema peponi
2026-09-27 17:02:48
3
jpm7298
JPM :
Hapa ndo tulikuwq na Rais sasa. ilikuwa ukisikia anakuja mkoani kwako katika ziara unatamani uwepo
2026-09-27 16:48:57
3
aminbashiru1
Amina :
duh! baba pumzika kwa aman uko ulipo
2026-09-27 20:01:15
1
user8592442617863
Joseph Sebastian :
Haya maisha bwana Kuna mda nakata Hadi tamaa ya kuishiiiiii
2026-09-27 18:57:34
0
jingwigu.pjm
Jing'wigu PJM :
Ipo siku Mungu atatupatia tena mashine kama hii🙏🙏
2026-09-27 16:57:54
3
user8815491763102
frank :
😂😂😂😂😂😂😂 vita alipigana kweli kweli mzee wetu kpnz
2026-09-27 18:17:59
3
bombwejr
bombwejr :
Yaaani kama kuna Raisi atakuja kupendwa kama huyu sijui mwenyewe alikuwa ana enjoy nyimbo ya zuchu sana kama bado yupo hai
2026-09-27 14:59:40
1
witty.mathias
Witty Mathias :
baba bola ungebaki nasi saizi tunapewa den la taifa
2026-09-27 21:36:18
0
cutekirah_01
shakiraTz :
Yale maneno yake ya.busara ndo tunayakumbuka sas aseee😞
2026-09-27 20:53:17
0
abdul.nesphor
abdul nesphor :
namkumbuka sana shujaa wetu kipenzi cha watu
2026-09-27 20:50:49
0
annastaziafausti71
Annastazia Faustine :
tutakukumbuka sana babayetu
2026-09-27 20:26:22
0
user5744185791682
ester nakajumo :
tumekumiss san magufuli mungu akulaze mahali pema peponi[Facepalm][Facepalm]
2026-09-27 20:57:08
0
To see more videos from user @magufuli.3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About