@salum.dawa: #debate #mawaidhayenyemanufaa #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #zanzibar

Salum DA'WA
Salum DA'WA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 12:53:08 GMT
14624
727
56
18

Music

Download

Comments

salimhaji79
salimhaji780 :
Ahsant mashaallah
2026-09-27 22:44:24
0
baba.sao0
Baba Sao :
huyu ni kharam ata kumsikiliza
2026-09-27 13:26:45
19
kibabutobwe1
kb 5% :
aaaa huy tumteketez
2026-09-27 17:33:39
4
sudyshaban972
Sudy Shaban :
tukubali sasa ni mchungaji je anacho sema nikweli?
2026-09-27 16:15:55
2
user9747192818913
princessar🦋 :
Mchungaji zayd
2026-09-27 14:55:20
6
amirykalyango
Amiry Kalyango :
Shekhe hajasema kasulubiwa ..bali amesema baadhi ya vitendo vya kusulubiwa alivipitia...ili ihesabike umesulubiwa nalazima kanuni 4 za kusulubisha....
2026-09-27 15:04:45
2
albahry6
Albahry112 :
huyu kaslimu miaka yakaribuni tu hajasoma anafuata itikadi yake ile yakigalatia ndio anayoipata basi
2026-09-27 14:49:40
1
mohamedjof2
geofrey Mohamed :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wamekuja wengi
2026-09-27 23:04:30
1
sawadhenterprises
sawadh enterprises :
huyu ni mchungaji, zayd Ibrahim
2026-09-28 10:05:39
0
ibrahim.true2
Imani :
kwanza tujue anaswali wapi?
2026-09-27 19:54:53
2
prof_nabi
Nabeel :
sasa mbona anatoa story 🤣🤣🤣 baada ya maandiko
2026-09-27 18:46:19
2
samsonc875
Sam🇹🇿 :
Maandiko yanasema, Mtoto mlee katka Njia ipasayo naye HATA iacha HATA atakapokua Mzee. kumbukeni Huyo Alikua Mkristo kabla ya kua Mwislam, Ata Mimi leo hii nikiamua kua Mwislam, Siwezi kupinga Kuhusu kufa kwa YESU. maana Ndo Msingi wa Imani yangu Toka Utoto.
2026-09-28 04:07:54
1
user2696844812635
user2696844812635 :
hata kusema Martin ya kiran hawezi
2026-09-27 17:22:40
1
mariam.nyumba7
Mariam Nyumba :
Hyo ni mchungaj Zayd
2026-09-27 15:04:18
2
dalali.bomangombe
The king of boma🤴 👑 :
kwenye aya gan
2026-09-27 20:20:52
1
yanlusun0
yanlu sun :
ss kukubari kukataa nijuuyako maana atamm nikisema mtume haku jana diniyakiisramu maana na yykazariwa kawaidatu namtu apo unasemaje
2026-09-28 09:00:02
0
cabatony.pyd
prince :
simulizi huwa anahoji vzuri sana
2026-09-28 06:32:22
0
ommly70
💵Ommly70💵 :
jamaa anasema hawa kumua lkn allah alimtoa roho hivi akili yake ipo sawa kweli tena anasema mama maryam Alienware kumpaka mafuata kwenye pango
2026-09-27 13:58:26
1
hamisibrahim547
Hamis ibrahim :
allah akbar
2026-09-28 09:22:56
0
ummusalama57
Salama Juma :
Nifahamisheni Jamani Mgalatiya ndio Nani?
2026-09-28 04:37:37
0
umulkuthumkheir
umulkultum :
jibu swali
2026-09-28 07:41:57
0
user82865198361171
IRONY LADY :
nmeelewa sai kweli anakaa mchungaji huyu
2026-09-27 18:35:57
2
jumakiure1
JUMAH :
uyo John tooooooooo
2026-09-27 20:21:42
2
mbalaka_k_manga90
ISLAM EMPIRE 🏰🏯LA I'LL AHA-- :
anatafuta followers na like tu
2026-09-27 19:18:46
2
user8616160521769
Mr dikula :
ni kwel huyo ametumwa lakin mashehe mnaojua din vizur kama shehe walidi mlinganien din vizuri anaweza akawa upande wetu huyo na akawaleta wenzie
2026-09-27 18:37:44
2
To see more videos from user @salum.dawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About