@mohamedhafidh_tz: Unataka kusoma ICT? Kabla hujachagua course hii, kuna mambo muhimu sana unayopaswa kuyajua. ICT ni field pana kuliko watu wengi wanavyofikiria. Kuna Software Development, Web Development, Networking, Cybersecurity, Databases, Information Systems na maeneo mengine mengi. Katika video hii tunaangalia mambo muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuzingatia kabla ya kuchagua ICT, ikiwa ni pamoja na: 🔹 ICT ni nini na ina career paths gani? 🔹 Je, lazima uwe mzuri kwenye Programming? 🔹 Mathematics ina umuhimu gani kwenye ICT? 🔹 Kwa nini English ni muhimu kwenye Technology? 🔹 Je, unahitaji Laptop ili kusoma ICT? 🔹 Kwa nini practical skills ni muhimu kuliko kusoma notes pekee? 🔹 Jinsi ya kuchagua programme kwa kuangalia Curriculum 🔹 Career paths mbalimbali ndani ya ICT 🔹 Kwa nini Portfolio na Projects ni muhimu 🔹 Maswali ya kujiuliza kabla ya kuchagua ICT Kama una mpango wa kusoma ICT, IT, Computer Science, Software Engineering, Information Systems, Cybersecurity au programme nyingine ya Technology, video hii inaweza kukusaidia kufanya uamuzi ukiwa na uelewa zaidi. Usichague course kwa sababu tu umeambiwa technology ina future. Kwanza elewa unachochagua. 📌 Kama video imekusaidia, LIKE, SUBSCRIBE na SHARE kwa mwanafunzi mwingine anayefikiria kusoma ICT. #fypシ #foryoupage #mohamedhafidh_tz #ict #teknolojia
Mohamed Hafidh
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 12:58:08 GMT
Music
Download
Comments
Minimalist 🩺 :
kaka ukipata muda zungumzia health informatics(health information science][Pray][Pray]
2026-10-03 23:10:39
0
COSMAS :
vp kuhusu hii course "Bachelor of science in Business Information Technology"
2026-09-27 14:50:57
3
Hezekia1@ :
computer science inanafasi gani kama ICT compass wide area
2026-09-30 17:57:43
1
JayT :
kaka zungumzia electronics and telecommunication engineering
2026-09-28 09:27:35
1
S BY N💝💘🫶🧕 :
nimepend daras lako but me calculations i means mathematics sin kbc
2026-09-30 09:53:00
1
Sam vokes :
kaka, naomba ushaurii juu ya hii bs cyber security&digital forensics
2026-09-28 12:57:22
1
sniper viner :
Na je ipi tofauti kati ya IT ,ICT na Computer Science???
2026-09-27 17:53:18
2
little J :
kaka naomba ushauri kuhusu computer science ndonaenda kuisoma
2026-09-27 14:25:56
2
zero :
Asante kak kwakunijibu
2026-09-27 13:42:03
2
real jaysam :
kwa ujumla technology courses jitahidi sana kuwa na ujuzi wa kuweza kufanya kitu badala ya kusoma tu na kufaulu mitihani.
wengi waliosoma technology na kunaliza bila maarifa au utaalam ndio wanaolalamika kua hakuna ajira.
ukijikijikota zaidi kua na ujuzi wa kuweza kufanya au kutengeneza kitu basi huenda ukapata fursa hata ukiwa bado unasoma.
2026-09-29 11:52:26
1
Sheby JR :
cybersecurity & digital forensics, Brief kidogo
2026-09-29 16:41:47
1
Shimanyi Peter :
kaka nataka niwe na domeini yangu nielekeze
2026-09-27 19:15:33
1
SAMMY DE BREEZY :
2026-09-30 11:51:30
1
wixe.lovie :
Je vipi data science
2026-10-02 11:41:21
0
Emil :
nivitu gani vya kuzingatia Ili kujua reverse engineering
2026-10-03 21:55:55
0
master question :
naomba ushauri kuhusu kozi ya food science ina soko?
2026-09-30 18:56:41
0
kkwpchkknkjsho&kmkipochi :
👍👍👍
2026-09-27 13:13:50
1
sniper viner :
je IT na ICT nitofauti??? Au nikitukimoja!!
2026-09-27 17:50:47
1
Musa Igenge :
kaka naenda kusoma cyber sijawai gusa hata kompyuta
2026-10-04 10:38:50
0
KAKA YUZZO :
👍👍👍
2026-09-28 08:01:17
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.