Wallahi hawa watu twaishi nao ila tunajionea mengi wallahi ALLAH awaongoze, swala ya rakaa 4 inaswaliwa dakika 1, misikiti imejaa kila mahali ila utaona mwanaume anaswali ndani ya nyumba swala zote, alfajiri ni mpakq mtu aamke saa mbili saa tatu kila siku, Yaa Rabb waongoze hawa watu
2026-09-27 15:36:18
7
Blackbird :
Alhamdulilaah ☝️alaneematul Islam Yarrab ☝️💚
2026-09-27 14:43:32
4
Swalhab :
Masha'Allah
2026-09-27 15:07:15
6
Rehema :
hakika mbora wetu ni yule mchamungu
2026-09-27 15:45:15
6
Zawadi Muba :
subahallah🥹🥹🥹
2026-09-27 20:49:28
0
ir :
ilifika mda wakuswali ndo utaona mambo sasa dakika 1 tu ashamaliza akikuona waswali dakika 5kuzidi anakuuliza unaswali nini
2026-09-28 02:32:20
1
🌟✨💫 :
subhannallah 😥 Astaghafirullah 😥 hii nayo kweli mengi nayaona ,, Allah atujaalie mwisho mwema 😥😥
2026-09-27 21:01:04
1
zizzungombo :
Ostadhi naomba kujua mume kanipa taraka nimeenda choon kaichana.naludi anambia mkewangu.yameisha je bado nimke au sina ndoa
2026-09-27 18:18:34
0
famau :
mashaallah Baraka Allah fik 🥰 wallah Allah akuifadhi brother akujalie elmu yenye manufaa Kwa Umma
2026-09-27 16:21:53
1
khadidja ramadhani :
wallah nisiba kwa kweli hamna ata omoja alipatiya😩😩😩
2026-09-27 20:01:01
1
MB :
Waleikum Salam Waramatuliah Wabarakatuh
2026-09-28 04:21:14
0
Khamis Seif :
Nnas
2026-09-28 04:11:19
0
Arijey :
mm waarabu wananishangaa kuswali kwa wakat na kuisoma quran
2026-09-27 20:51:07
1
Hamzapapa :
Kwanza huku wakiswalisha wako faster sana Hadi unakosa khushuu ktk swala..
2026-09-27 17:24:09
1
said daud :
hii ni majanga ya kimataifa subhanallah
2026-09-27 16:44:15
1
najma :
subhanallah
2026-09-28 04:27:07
0
show :
Wakati mwengine hujisemea tu Yaa Rabb nisamehe maana kuna vitu wanafanya nachukia lakini siwambii haki, ramadhan mtu ashinde kulala akiamka maghrib ndo aswal dhuhr, asr na maghrib kwa pamoja, ALLAH tuongosi sisi pamoja na wao
2026-09-27 16:07:37
1
mama. :
shukran sana shehe wetu kwa darsa
2026-09-27 21:47:06
0
Youssouf Maslaha :
awaou akibaru
2026-09-27 22:57:59
0
Hassan Mwahigo :
waaah innalilh
2026-09-28 01:43:25
0
najma :
tusone diniyet jaman bila kusoma hatutajua kit
2026-09-28 04:30:50
0
user13375025331545 :
Alhamdu Lillah
2026-09-28 05:01:17
0
binti :
Wanajuwa kiarabu lakini hawajui dini inasemaje Allah Atuongoze sote .Mkamilifu ni Allah
2026-09-28 03:50:02
0
Mr anonymous :
👍
2026-09-27 13:36:16
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.