Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-29 10:30:21
1
mr.hjr.com.tz :
umetisha🙌🙌🙌
2026-09-27 14:44:20
2
mafwele mdogo :
muda huu2 mkuu ndonimetoka kuzima taa nilikuwa nnje ndo nimerudi leoo kama ulivo agiza mkuu na aapa kwamba nita zifuta Sheria na Katiba za inchiii yangut🫡🫡🫡🫡