@ngogoherbalist: KITUNGUU MAJI 🧅🌿🩺

NGOGOHERBALIST
NGOGOHERBALIST
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 13:32:12 GMT
188634
7443
258
282

Music

Download

Comments

gathoninjeri
J.G :
Kitunguu maji ni gani?
2026-09-28 09:35:00
3
munyaka96
Munyaka :
kizuri sana ila kupunguza weight ni balaa
2026-10-13 13:03:46
0
user6120061323301
spiwe :
mm nataka yashepu kaka
2026-09-27 16:58:03
3
winnie.mukui0
Winnie Mukui :
ni gany ile ya white
2026-09-28 12:48:50
1
abigaesaloon1
Abigael saloon :
nilikitumia kurejesha hedhi yangu sikupata mwezi nilivyotumia kwisha
2026-09-27 19:57:01
3
user6039152814932
sophy :
je kitunguu maji kitasaidia ganzi kweli
2026-09-27 17:19:56
5
najaty_17
Najaty ✨ :
Yan nikiona dalili ya mafua au kukohoa natafuna kitunguu ,
2026-09-27 14:38:46
6
molley67
Miriam Molley :
Mimi utumia Kila siku usiku nikila chakula Cha usiku baada ya hapo nalala kama mtoto🙏🏾
2026-09-27 14:11:02
5
annakware8
annakware8 :
kiswahili ni kigumu ati kitungu maji tena
2026-10-10 11:19:44
0
musimbi_collections
musimbi1975 :
kitunguu Maji ndio Nini, inakaa aje?
2026-09-27 17:06:41
4
brown.osiah
Brown Osiah :
munamaanisha hata wenye pumu inasaidia
2026-09-28 13:26:56
0
cnwambua
Dotty C. :
Tuioshe kwanza ama hivo hivo
2026-09-28 07:22:40
1
estherk9426
Esther K :
kituguu maji ni ile ya majani ya green ama niilepuple round nielezee vizili nielewe ni ngani pls
2026-09-28 20:34:05
0
gracekabuche245
Grace Kabuche :
hujawahi kukosea
2026-09-29 15:16:41
1
user1151419880327
user1151419880327 :
kwa mda gani
2026-09-28 08:54:28
2
user1522573053336
farida :
kweli nikizuri sana ila nimetumia naona kinapunguza maumivu ya mifupa
2026-09-28 06:48:48
0
amida.chuwa
Amida Chuwa :
Amina
2026-09-28 11:18:24
1
pilly234
Pili Said :
asante sanaa kaka
2026-09-30 07:29:12
1
buthalia_hussein
Buthalia_hussein :
2026-09-27 14:12:31
1
user1814619418449
mbavu sébahunde :
asantesana kakayangu wee nikiboko
2026-09-28 06:22:50
1
fazili.ndambi
Fazili Ndambi :
merci
2026-09-27 18:30:30
1
user7509901403993
daughter of jesus :
dr je nikikatakata na kuchemsha kunywa inafaa
2026-09-27 18:35:42
1
mpinisaganda
Ramadhan ManjoeTz :
Nice
2026-09-27 16:27:58
1
willeculture
Wilson Mhoro :
more fire mm natafuna kila siku asubuhi mafua yamekimbia
2026-10-01 20:03:46
2
To see more videos from user @ngogoherbalist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About