Yaani kakakuona ametokea basi hapatakuwa na mvua za elminyo mwaka huu kutakuwa na neema tupu wote tuseme amen kubwaa
2026-09-28 04:19:04
974
Yuzoh😉 :
kaka kuona hataki kuona
2026-09-27 18:13:09
764
prescious🌹 :
kila mtu atajenga mwaka huu sema aminaa 😁😁
2026-09-27 17:27:31
1789
Mirza William :
hakutakuwa na El NINO kwa jina la Mungu🙏🙏🙏
2026-09-27 18:52:17
2042
SUBY glamour 💄💋 :
Hapo alipoanza kuweka mkia wake umetazama maji kwa maana hio kutakuwa na mvua sana watu watahangaika pa kujificha ili kujikinga na mvua hio watu Wataenda kushoto na kulia kutafuta msaada ili wapone bhn mtajua wenyewe me sielewi Ana maana gani me mwenyewe nashangaa tu
2026-09-27 16:53:28
674
Carolina Masanja :
sitakufa bali ntaishi kwa jina la yesu
2026-09-28 08:01:33
151
👑Lucky trendz🛍️ :
Kaka kuota atak chcht zaid ya nyumba tuseme inshallah jmn kila mtu ata jenga
2026-09-27 15:38:29
3862
Fwaya Issa :
utabiri unasema iyo nyumba inaenda na mvua ya elnyo inatakiwa kuhama wanao ish humo
2026-09-27 14:59:38
625
vicky :
hamna elnino sema inshallha😃
2026-09-27 16:53:29
1225
Zuuu :
Tutajificha sana kwa Madeni 😁
2026-09-28 16:20:05
155
NKUBAH👑👑 :
anamaana kuwa mwaka huu kilamtu ataona aibu Kwa maisha yake nyumbani kwake🤣🤣🤣
2026-09-27 16:23:23
226
black horse :
kwahiyo ni kujificha tu huu mwaka mbona tutakoma😁
2026-09-27 15:41:28
422
Mims 🥰🥰Mimi :
What's the benefit of this thing😢😢
2026-09-30 10:11:30
0
Shafiy J$ :
kaka kuonaaaaaaa
2026-09-28 11:20:55
2
Lovyn :
Najua kuhusu this animal nilisomanga kwa vitabu,,,,,hizo scales zake ni hard yenye ukiipiga haitaskia kitu,,,,and it do roll into a ball when it sence danger
2026-09-30 04:47:45
0
mzee KIJANA🔥 :
wp hiyo brooo
2026-09-30 18:50:58
0
neddy from heaven ❣️❣️❣️ :
let us repent
2026-09-29 06:44:19
0
anna💫💫💫 :
nn hicho jamn
2026-09-29 13:38:33
1
promisy🫂 :
Mbon kam yuko bz na maisha yake
2026-09-28 03:44:44
142
MAMA NATHAN :
kama ambavyo hatukuogopa korona. na erinino itapita vilevile kwa jina la yesu. shetani umeshashindwa kabisa watu wa mungu hatuogopi.
2026-09-28 06:37:12
64
nginja :
au labda uyu ni dada kuona
2026-09-27 14:27:55
74
JAMILA ZENA :
kwaiyo mwaka uu mbaka tusiojiweza tutajenga au namanisha nini kugombana ukuta
2026-09-27 14:58:11
427
upendo mshana :
ukibahatika kumwona huyu mdudu ni neema kubwa sana,
2026-09-30 09:18:11
11
@Lizy.scents. tz :
Aijawai kusoma comment kwa umakini kwa kiasi hiki
2026-09-27 17:04:07
90
𝒵𝑜𝓊𝒽🤎 :
Inamana tutafute pa kujificha 😂😂mtumeeee🙌🏼😂
2026-09-27 16:06:17
53
To see more videos from user @23jega, please go to the Tikwm
homepage.