kamati ni mwizi I swear before God any connections that come from kamati toka mbio mimi nilioshwa 120k this year.
2026-09-27 19:51:39
2
Unbothered Lastborn :
I got help through Small claim court but mpaka ukue na patiency case yangu ilitake 5 months but Alhamdhulilah nlipata pesa zangu
2026-09-27 19:38:41
2
udaku 254 :
heri wewe unajua zako ulipea agent mimi hii mwaka sijui salary yangu imeenda wapi😂😂😂
2026-09-27 15:08:39
25
milley 💕 :
heri wewe uliconiwa 135k mm niliconiwa 350k sahii ata niko on medications 😢😭😥😥😥
2026-09-27 14:51:32
8
linnah :
na vile Mimi na trust monicah aki what happened?
2026-09-28 11:06:04
0
Robinah Wickliffe ♥️🥰🇰🇪🇸🇦 :
😔😔😔😔Hawa watu si wazuri but God will punish them🙏🙏🙏
2026-09-27 14:46:34
1
mercy evereso kezegi :
mi bwana siezi sumbukia na pesa yangu.
2026-09-28 11:38:28
1
His favourite. :
umeniokolea hadi nilikuwa naingia box
2026-09-27 20:41:19
3
Adugo :
wanaume wengine walipata mabibi wazuri Mimi heri nilewe hiyo pesa 😂😂😂
2026-09-27 17:05:28
3
Nourah :
Baby gal fanya hivi,usisumbukane kutafutia mzee kazi tena,Acha aende sides za kitale kuna shamba hata za 200k,wawekee kanyumba kadogo mtumie pesa aanze kukodisha madhamba akilima mahindi na maharagwe,akivuna auze hiyo mahindi aweke London na ngombe na huku anaendelea na ukulima wa mahindi,kidogo kidogo aongezee kuku, mnunulie pikipiki second hand akiwa free anaingia barabarabi abebe customer apate ka mia,imeshinda hii mambo ya agents,ukumbuke miwa pia iko hiyo side mnaweza kodisha shamba mpande miwa,mwaka moja tu ukishampanga then focus na other things
2026-09-27 19:34:49
4
viovio :
Trust online jobs and agents at your own risk
2026-09-27 17:05:30
2
Toto la arsenal :
Waaaah 😳😳😳kubali tu huyo mwenye anakuambia akikusaidia atachukua 10k,akusaidie kulko zote zpotee
2026-09-27 14:46:23
7
Everlyne Koyio :
Si ungekubali akusaidie akule 10k kuliko ziende zote
2026-09-27 22:20:56
1
G.32 :
🫂🫂🫂pole sweetheart
2026-09-27 16:33:16
0
muhali farm :
kamati is right coz sai kila mtu ako informed mbona ulipe visa na ijaona ata offer later be wise
2026-09-27 19:08:18
1
Tony mwabili :
we tulia iyo pesa ni ya 1 month uku kwangu ok ni pesa kidogo 😂
2026-09-28 11:46:17
0
user3818905930146 :
Kamati aone hii
2026-09-28 03:54:26
0
Liz♥️🦋 :
Aki kubuy job siku hizi ni risk 🥺mwingine alilipa 150k ya cleaner akaenda kupata ni house to house 😂😂😂
2026-09-27 16:37:01
6
Alulu😘 :
Na agency ulikam nao qatar wako?
2026-09-28 03:30:08
0
Benjamin wagila :
iyo pesa tuma kwa number yangu🤣🤣🤣
2026-09-27 18:08:25
0
🇶🇦🇶🇦GoodLife🇦🇪🇦🇪 :
ilikua job gani
2026-09-27 16:51:42
0
Mona, mona :
hizo zilikua zimetosha kujenga nyumba nyumbani ya semi permanent aki poleni 🙏
2026-09-27 18:12:36
2
Dinah :
pole kamama, watu hawana huruma huku nje aki.
2026-09-27 17:40:42
1
Alice Muthoni :
ooooiee pole my sister, imeniuma,ma Agent wengi sana ni scam
2026-09-27 15:52:31
1
Velma lov :
we unasema nn Mimi ikiwa wazazi wangu wenyewe nimewatumia almost 1.5 million nyumba kujengwa haujaisha na ndio nmechok naskia kuchizi na account haisomi😭😭
2026-09-28 11:22:31
0
To see more videos from user @mumgabrielandadriel, please go to the Tikwm
homepage.