kwani katiba hii ambayo tunaitumia ilipatikana kwenye utawala wa chama gani?
2026-09-27 17:31:31
1
Toxic kiddy :
Ukweli kabisa
2026-09-27 16:23:41
3
Jamilu Masofa :
mashallh
2026-09-27 15:50:44
4
Vedasto Mboneko :
uko sahih kaka
2026-09-27 15:47:05
5
Heaven Gate Keeper :
naomba kuuliza kwa anayemfahamu huyu jamaa,je ni mtoto wa prof.Shivji???
2026-09-27 17:28:17
1
Lil_007 :
ccm wanataka tuendelee na katiba hii tulonayo ili waendelee kubaki madarakani milele..
2026-09-27 17:43:54
5
Dr Jacton H Kuyenga :
mkuu wao wa NEC Yuko anajinadi hadharani kuwa vyombo vya usalama ni Mali ya CCM. huu ni ulimbukeni uliopitiliza, na kama vyombo independent vya usalama Wetu raia vimeweza kuwa CCM "B" kama taifa kuna giza kubwa mbele..
2026-09-27 15:19:38
3
mwanza 💚 :
2026-09-27 14:11:46
1
N O T E C H :
nimekatazwa ku post, siasa et nitapotezwa, lakini zina nipa raha, i'm sense the change is coming so i'm hopefull of freedom & devolopment, coz maendeleo ya katiba ni ya lazima sio maendeleo ya mwanasiasa ikiwa anataka kura, ndio anajiamulia kuwapa barabara, noop! maendeleo ni haki ya mwananchi, sio kwasababu ya kodi zetu ni kwasababu ya maisha bora ya mwanadamu,
2026-09-27 17:16:51
1
Emmanuel Tsuma :
jamaa kaongea point Tz hiyo daah😏
2026-09-27 20:22:47
0
johhmike14 :
kweli kabisaa point
2026-09-27 18:56:52
1
shedydecoretion :
katiba ccm ndio hawataki itakuwa ndio jeneza la ccm
2026-09-27 19:06:56
0
mwile :
kwajina la yesu tutaipata tu
2026-09-27 14:37:33
0
hamisi :
😂😂😂kweli ba
2026-09-27 20:48:20
0
Regan :
jamaa yuko smati sana kawakilisha wananchi
2026-09-27 20:13:35
0
Dipu 1234 :
haha zanzibar mitano tena
2026-09-27 19:37:30
0
Halima :
kwani mchakato wa kikatiba mpya si ni sera ya chama hichohicho .jamaa anaporoja t
2026-09-27 20:35:17
0
user5557735305480 :
jamaa anaongea point
2026-09-27 18:10:08
0
mmojawapo :
kuna online tv hazitaionesha hii
2026-09-27 17:54:29
0
Hilary :
✌️✌️
2026-09-27 16:30:53
0
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm
homepage.