@user5763844737061: ❤❤❤💯💯💯💯

brave_25
brave_25
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 14:08:12 GMT
8829
160
15
14

Music

Download

Comments

.almuhajirun.kang
المهاجرون Almuhajirun kangemi :
amani ya taifa sio kitu cha kuchezea, kama nguvu kubwa haile tumika mamilioni ya raia wange poteza maisha. sheria if wate mkumbo
2026-09-28 03:12:35
0
rosewaukweli
S 💥 :
mbona kama unakandamiza
2026-09-28 04:46:26
1
rafaeli.makuya
Rafaeli Makuya :
wewe mbona unachamganya mambo! kwani uchaguzi haukufanyika?
2026-09-27 21:08:36
1
fabian.ndauka
Fabian Ndauka :
unakazi ya kufanya
2026-09-28 07:30:19
0
oscar.ojuku
Oscar Ojuku :
Tatizolako kaka ujaligi muda unaongea kwa kuremba sanaaa jitaidi uweunajikita kwenye point
2026-09-28 07:34:01
0
user5408607557619
isayamollel12 :
kanye ukalale
2026-09-28 03:09:18
0
asteria9090
. :
Acha kuzua taharuki wewe, hakuna atakaenyongwa , walitaka kuwaonyesha Watanzania chanzo cha tatizo ni nini ila tusiojielewa bado tunapiga kelele na kuhukumu watu baadhi na kuwaacha wengine.
2026-09-28 06:47:39
0
user1602144994531
ndomolobukwi :
hata hueleweki
2026-09-28 04:59:33
0
davijames164
david james :
Kesha lamba asali uyu
2026-09-28 06:07:51
0
issamwasile566
Issa Mwasile :
Uchawa uchawa tu
2026-09-28 04:58:01
0
user3156501848804
Christopher :
kipind una kes ya uchochez ulikuwa chama gan
2026-09-28 04:26:57
0
msuyaungweno777
msuyaugweno777 :
uchaguzi haukuvurugika uchaguzi ulifanyika vurugu zikatokea badae na asikari wasiokuwa na uzalendo na mafuzo mazuri Waka sababisha hayo nakutoka kwa watch radi ni baada ya ya intaneti kukatwa
2026-09-28 07:46:39
0
agnes.emanuel90
Agnes Emanuel :
linamkabiri vipi wakati uchaguzi ulifanyika na mkashinda kwa asrimia 98 sasa kachochea nini
2026-09-28 00:09:25
0
user2567287565569
user2567287565569 :
Kanye ulale hio ni content
2026-09-27 21:17:59
0
bendushaban
Bendu Shaban :
unajadili kesi ambayo ipo mahakaman kama unao ushaidi nenda mahakaman katoe ushaidi acha kuleta taaruk
2026-09-28 07:51:38
0
To see more videos from user @user5763844737061, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About