Very simple, 9×3= 27k.this is outstanding debt. paid 3K. The 2K taken by the boy is already factored in 27k. coz it is supposed to be 25 if 2k was not stollen.
2026-09-27 21:12:00
3
vidaly :
hummmmmm, kazi hiyo
2026-09-27 19:05:37
1
PERE DOUBLE :
30-5=25,
25÷3=8,33
8,33+1=9,33
9,33x3=28
28+3=30
2026-09-27 20:21:38
0
Mwanaisha :
buku lipo kwenye elfu 25
2026-09-27 16:11:56
2
Upendo wa mungu baba :
Apo usituchanganye, no 25000+3000 ni 28000+ 20000 si inakuwa 30000k
mzee acha kutudanganya hapo
2026-09-27 18:48:39
4
Luqmani Gas Store :
walichanga 10k x 3 = 30k
waka warudishiya 3k , ikaonekana wamechanga 9k x 3 = 27k
sasa yule mtoto amebaki na 2k , ukeichanga itakuwa 29k
swali 1k imeenda wapi
2026-09-27 19:35:11
0
Mmaka :
Hapo, mambo Iko rahisi, kwavile wanunuzi waliregeshewa 3k,, inamaana walitoa 27k,, na sio 30k,,, so baba alibakia na 25k, na mtoto 2k,, kwaiyo yote itakua ile 3k +25k+2k_ 30k,, ni sawa
2026-09-27 19:13:25
2
eeps254 :
hio hesabu ndio ilifanya kukawa na fomular ya bodmas.kama kijana angewapatia hio elfu tano kwanza alafu wao wakamrudishia elfu mbili hio hesabu ingekuwa rahisi
2026-09-27 20:29:23
0
Chris Madaha :
imagine na hapo ni mtoto wa idd Amin angekuwa mtoto wa Nyerere ingekuwaje
2026-09-27 14:38:21
0
Lotorupe :
pesa haziko kwa wauuzaji, ziko kwa mwenye mbuzi. Simple math is
30K-5K=25K
5K-2K. =3K
mtoto=2K
Add the results i.e
25K+3K+2K=30K.
2026-09-28 03:12:07
1
adonia :
2026-09-27 18:37:58
1
mnalihongela :
mwamba darasa lake kubwa
2026-09-27 16:04:23
2
Yanga bingwa✅ :
buku yann sasa Shekhe tuendelee na mambo mengne😂😂😂😂
Elfu 5,000 HAIKURUDI,.9000x3=27,000 +3000 Walizorudishiwa jumla 30,000
Wachuuzi wako na sh 3,000 + Alizo piga Dogo sh2,000 Mzee mwenye mbuzi sh 25,000 Jumla
2026-09-28 05:14:28
0
rahilu zuberi :
kwa vile walikuwa washatowa 25k
ukiongeza na hiyo 3k itakuwa 28k
na 2k alizo chukuwa mtto itakuwa zte
30k
2026-09-27 16:15:20
1
user45863594758537 :
ni kukamata hesebu ya pesa walizo towa 30 +3 walizo rudishiwa kisha unahongeza alizo baki nazo kijana elfu mbili kisha zinaheneya
2026-09-27 21:05:34
0
sgdhs :
Kila mtu alitoa 9.33 sio elf 9 tuu
2026-09-28 12:08:25
0
Dotto Zuber :
jibu ni ukijumlisha ile elfu tatu waliyo rudishiwa ndiyo sahihi so utapata 30000 kamili nasiyo iyo elfu mbili
2026-09-28 10:29:12
0
ukhuty D :
25000+3000=28000+2000=30000😅😅acha kutuchangany hiy ip waz
2026-09-28 13:25:34
0
MILK TEARS :
Ipo kwenye change za elfu tatu walogawana mwisho
2026-09-27 21:39:41
0
miharbinadaila :
iko Kwa kijana
2026-09-27 20:08:27
0
To see more videos from user @bwera_media_one_tv, please go to the Tikwm
homepage.