rakini jamani hebu tuache mambo ya dunia tumuogope mwenyezi mungu kwanini mumzalilishe marehemu hivyo warah anatamani angekua hai akataze kurekodiwa hivi hua mnapata wapi nguvu za kurekodi marehemu hivyo
2026-09-27 16:28:38
74
sawmo awazi ❤️❤️ :
[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]mngu atjaaliye mwisho mwema
2026-09-27 15:55:34
0
moh✅hamady✅ :
futaa hii videos so vzr brother 😭😭😭
2026-09-27 17:19:58
4
mwaa love ❤️ :
cy saw kbs
2026-09-27 17:25:46
0
Esther Massawe :
kwa mara ya kwanza sijawah kuona 🙌
2026-09-27 17:28:00
17
Yuda msaliti :
polen[Pray][Pray]
2026-09-27 16:53:44
0
nulaty🌸❤️🔥 :
innalillah wainnaillah rajuun. ndg zang waislam naomb tu mfute hii video man sio vizr kupost mwil wa marehem 😭😭
2026-09-27 17:24:56
26
ofisho Jaunga💀☠️💰💯 :
bro naomba ufute hii video samahani lakini🥺🥺
2026-09-27 16:52:37
6
chakudeka🥰🤗😍😋 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mmenikumbusha mbali san kipind mama ang amekuf nina umri wa miak13 walimuosh nikiwa naona wakamfunga ivo nikiwa naona nikawa nazimia zimia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭allah awalehemu wote waliotangulia
2026-09-27 16:47:46
9
Mwantumu Mwantumu :
poleni
2026-09-27 16:39:28
1
ashmamy :
mbeleee yakee nyuma yetuy
2026-09-27 17:39:29
1
zameruhamisi :
mungu atupe mwisho mwema
2026-09-27 16:59:56
8
Zai mamy🌹 :
hata mimi nitafanyiwa hivyo Allah tupe mwisho mwema😭😭😭😭
2026-09-27 17:31:36
4
Hilda cute😜 :
mungu atupe mwish mwema
2026-09-27 16:53:09
2
fammy girl❤ :
Allah tupe mwisho mwema
2026-09-27 17:26:48
3
Almas kpnz☝️ :
msifanye ivo jmn achen kurecod ikiwa mwenzenu anaandaliwa
2026-09-27 16:44:21
5
4S么GHOST!亗 :
jaman mbona mnarikodi mnamzalilisha
2026-09-27 16:56:57
1
thul~heart :
subhanallah Ata kama mnafanya ivo kama ukumbusho lakini haifai bora mtafute mtu mzima alaf ndio mfanye kama hivo na itatosha kuwa ukumbusho lakini sio namna hiyo 🥲
2026-09-27 17:25:20
4
da hu :
Hiz cm kubwa Zina fundisha na py zinapotosha allaah atujaalie tupate mafunze Kama Haya ili turud kwake ya Allh tusameh umat mhammad s.a.w amiina🤲🏼
2026-09-27 17:30:25
3
Hery😘💕 :
mmeni fanya nime jisikia vibaya nime mkumbuka mama angu mie sio vizuri jamani ivi tuacheni shetani apite 😭😭😭😭
2026-09-27 17:36:26
2
Kiy💞💞 :
Inallilah wainaillah rajiun jamani tumefika pabaya sana tukumbuke maiti pia inaaibu mitandao usituhadae kiasi hiki😭😭😭😭😭😭
2026-09-27 18:21:00
1
fatma abedi :
sku hii ningumu ndugu zangu
2026-09-27 15:58:17
0
yumnat :
Allah atupe mwisho mwema waislam wote
2026-09-27 17:07:02
2
To see more videos from user @amiri.yusufu, please go to the Tikwm
homepage.