@official_lanezz: 😭😭😭 Nawakumbusha dada zangu kifo cha baby love kiwe funzo kubwa sana kwenye mwisha yenu🙌🙌 #sadnews😥 #breakingnewstoday #lanezztv #viralpostfb
hooo Mimi jasho limenitok mwili mzima😭 kachinjwa kama kuku kichwa kikanyanyuliwa juu Huku wakifurai maskin alilia mpk akanyamaza tyu
2026-09-27 20:04:48
174
Beccar :
Kachinjwa Jmn huangalii mara mbili 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭kafa vbya Jmn binadamu wabaya sana
2026-09-27 18:17:54
75
marykidoti 🇹🇿🇹🇿 :
Tumbo limeniumaa mkono walivo kua wanaukataa adi ikabidi anyamazaa 😭😭😭 mungu kama kweli upo kwaajili yetu lipa kwenye ili ucinyamaze baba lipa lipa mungu lipa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌
2026-09-27 22:13:01
111
@ rapcha d :
mwenye moyo aje dm na no nimtumie
2026-09-27 22:11:48
35
Being_chima❤️🤏 :
Vitu vya kujifunza sio vyakuwanyima watu anayetaka 🥺
2026-09-27 20:02:13
51
Trude😍🇹🇿 :
🥺🥺🥺Hiyo video nimeshindwa ata kuangali amekufa kifo cha maumivu makali sanaa
2026-09-28 05:49:45
15
it's Chully❤️🔥 :
yani walichomtenda huyu dada ni kibaya mnoo💔🙌🙌🙌 yan mi nimeangalia video huku nalia ad naongea nasema mwacheni aendee jaman wanashusha mapanga kama fimbo ubinadamu uko wapi hii dunia uko wap utu🥹 MUNGU Kwenye hili njoo mwenyewe baba usitume mtu njooo😭🙏
2026-09-28 07:58:26
12
maisha mohmed :
Mwenye video naomba jaman 🥺
2026-09-27 18:48:00
29
Anipher Mwang'osi :
mijitu michoyo sana Tangu nmeanza kuomba daaah
2026-09-28 05:06:37
7
GR🤟🏿🤟🏿📦 BUSINESS ACCOUNT :
daaaah 😭💔🧎🧎🧎 usiombee video 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-27 21:50:23
0
user5931139473399 :
video yake nmeiangalia kidogo nimeshidwaa kula nakupata usingizi 😭😭😭😭
2026-09-28 07:08:16
5
d&h🥰🥰🥰 :
naomba nione jamani amefanyaje ndugu zanguni
2026-09-27 21:06:01
9
aisha :
kwann kakatw
2026-09-27 16:59:00
10
Femy💫 :
ndo man sitakag shobo na watu maan ni huzun kwa kweli
2026-09-28 05:31:12
8
Lyte Shirima :
vitu vya kujifunza hanyimwi mtu
2026-09-28 05:16:04
6
Jullie😘❤️ :
Mpumzisheni huyu jamani maana video ile hapana kila nikijaribu kusahau nikiingia tu huku nakuta kapostiwa inaumiza hata mnyama hawezi kuchinjwa vile bila huruma daaah 😭😭😭
2026-09-27 19:47:49
29
Mimah cute 💸🦋✅ :
Huyu dada kafa kifo kibaya sna 😭😭😭 nimelia sana nilivyo ona zile vidio eseee binaadam tume kuwa wanyama Tena zaidi ya wanyama 😭😭😭 daah maisha haya
2026-09-27 17:51:45
42
tinah kimario :
akufa kwaajili gani jmni
2026-09-27 18:29:58
28
Angel 🥰🥰 :
kawejee uyu dada jmn
2026-09-27 17:07:33
8
To see more videos from user @official_lanezz, please go to the Tikwm
homepage.