@creatorman.og.com: Mtoto au mtu yoyote ambaye anae kosa usingizi na kuweweseka usiku basi tumia aya hii tukufu itakuondolea tatizo hilo kwa uwezo wa mwenyezimungu inshallah. Andika aya hii mara 7 katika karatasi nyeupe kwa kutumia zafarani ya njano na miski nyeupe. Ukishamaliza kuandika, utaweka karatasi hilo kwenye maji masafi, baada ya hapo utayahifafhi maji hayo kwenye Chupa au kwenye chombo kisafi chenye mfuniko. MATUMIZI: utakuwa unakunywa nusu kikombe muda wa kulala na kupakaa mwili mzima ndani ya siku 7. Inshallah kwa uwezo wa mwenyezi Mungu kama ni mtoto au mtu yoyote atakae tumia kombe hili, atapata usingizi wa amani na hatoweweseka tena.

Sayyed abuu shamhuurash
Sayyed abuu shamhuurash
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 15:24:07 GMT
30974
3446
18
350

Music

Download

Comments

fatumafamily
Fatuma Lugazo :
Inshaallah
2026-09-28 01:32:18
1
cuteesham63
shambby :
Inn Shaa Allah shukran
2026-09-28 20:26:26
1
serengeti.boy4
Serengeti Boy :
inshallah
2026-09-28 17:19:30
1
twalibali166
ta0 :
asnte ila naomba jina la qari anaitwaje
2026-09-28 18:55:36
0
bwanaabeid
Bwana Abeid :
Ameen
2026-09-27 18:54:11
1
najma.abdullah48
Najma Abdullah :
ALLAHU AKBAR
2026-09-27 19:38:10
1
shafino.dominick
Shafino Dominick :
Inshaalah
2026-09-27 19:32:12
1
user7797165259700
Asia mohammed :
Amiin
2026-09-28 08:59:38
0
user4583617031260
Reyofficial. :
inshaallh
2026-09-28 14:44:58
0
zurfazurfa2
Sulaya Aisha :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-28 12:39:55
0
tina.kahati
Tina Kahati :
Inshallaah
2026-09-27 20:46:52
0
ruhaga_
Ruhaga Adam :
Hii ni dini Akhy. Una dalili juu ya usemayo?? Usiwapoteze watu hakika utakuwa mwenye kuulizwa na adhabu zake zitakuwa kali sn
2026-09-27 18:31:57
2
jamila.munira
jamila munira❤️ :
🤲🤲🤲
2026-09-27 18:40:56
1
cabyser495
CABYSER 4️⃣9️⃣🌍 :
💯💯💯
2026-09-27 19:19:56
1
juma.chabeho
Juma Chabeho :
🥰🥰🥰
2026-09-27 16:57:02
1
jamila.munira
jamila munira❤️ :
🥰🥰🥰
2026-09-27 18:40:48
0
To see more videos from user @creatorman.og.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About