@massoudkhaifan: Heshima na kuthaminiwa ni vitu ambavyo moyo haupaswi kuvichukulia kawaida. Unapopata mtu anayekuheshimu kwa dhati, mlinde na mheshimu pia, kwa sababu si kila anayekupa nafasi moyoni atabaki hapo milele. Watu wengine huondoka, lakini thamani ya wema waliokuonyesha hubaki kuwa somo la maisha. 🕊️ #mahdankhaifan #foryoupage #foryou #viral