@esko_donald: Familia ya mama Anderson ni moja ya familia ambayo tuliifunika na Mwavuli wetu, na wao pia tuliwapa sadaka ya shilingi laki 4 ili kuongeza mtaji wa mama Antony ambaye anafanya biashara ya mahindi yenye mtaji wa shilingi elfu thelathini. Kinachoumiza zaidi kwenye familia hii ni maisha ya mtoto Anderson, ndoto zake zinakufa kwasababu ya hali ngumu ya kiuchumi kwenye familia. #TheUmbrellaFoundation furaha yetu ni kuona Wanafurahi.

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 15:34:28 GMT
257717
27073
1661
747

Music

Download

Comments

fettyfei4
fetty fei :
Tulio lia tujuane
2026-09-27 18:02:45
436
ashaswaleh37
ummufatmah :
UKISIKIA KIFUNGUA MIMBA NDIO HUYUU MTOTO🥰🥰🥰🥰
2026-09-27 16:45:37
414
overthinker9557
Overthinker👸 :
[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]naumia roho yangu
2026-10-05 04:52:02
0
user2985705493226
Kalix :
ukipitia maisha mangumu ndo utamuelewa uyo dogo
2026-09-27 16:11:51
374
tonny.kisakah1
Tonny Kisakah1 :
Naomba kumlea huyu kijana wangu jamani mie ni padri kutoka nchini kenya
2026-09-27 23:34:13
122
alyah8367
Alyah🌬️🔐 :
kaka esco Hawa wanahitaji zaid tuwachangie jmn😭
2026-09-27 15:52:26
430
tumaininchimbi875
munira mom :
baba wa hii familia alaaniwe akose aman milele
2026-09-28 05:34:21
89
salma_hammy
Salma😍 :
Mungu nisamehe nilipolalamika😭😭
2026-09-27 15:56:30
554
saudamuro6
sauda muro :
wazazi nawaomba ukishajiona MAISHA magumu umeshazaa mtoto wa kwanza 1,2,3, MAISHA huyaelewi unaendeleza 4 hadi wa 5 hapana hii sio sawa kunauzazi wa mpango tunawatesa na kuwaumiza watoto jamn hawapati haki zao za MSINGI kwa ajili ya starehe zenu tazama mtoto anavyoumia sasa jamn watanzania wenzangu tumsaidie huyu mtoto esko pole sana jamn
2026-09-27 20:14:31
40
rehemashunda81
Rehema Shunda :
Umasikini mbaya sana Mungu tusaidie
2026-09-27 17:11:15
84
stano_the_adventist
STANLEY LAGAT :
another day crying with strangers
2026-10-04 15:16:16
0
joy366662
Joy :
Kuna wamama wanazaa jmn 🥰🥰🥰mtoto anafikilia ndugu zake aiseee🙌🏼
2026-09-27 18:33:31
106
jubikissy4
JB💕 :
watoto w kiume wa kwanza Wana mengi moyoni
2026-10-01 13:13:07
7
hawaa4076
Hawaa :
First borns go through a lot First born sio mwana ni ndugu kwa wazazi wanahisi machungu ya wazazi sana.
2026-09-27 17:02:59
53
neemane3
Mom Naya 🥰🥰 :
Yan mm kosa kumuona alivyo Lia mm uku ndo nimelia kumzidi yeye
2026-09-27 17:44:42
104
girlfriend265
🌸Póokíé🌸 :
Mimi ndo maana sihitaji hata kuona sura ya baba yangu😢😢😢
2026-09-28 19:57:55
13
jamillafarshady
@millah :
😭😭 nyie dunian ukisem huna kitu kuna wengn zaid yako 😭😭😭alhamdulillah kwa nilicho nacho
2026-09-27 17:51:43
42
missleh
Ms~Leah✨🌸 :
Uwii umeamua utulize jioni hii esko🥹💔…Eeh Mungu bariki wale watu wanaokutegemea🙏❤️
2026-09-27 16:07:47
73
ma.mgosi
Ma mgosi :
Mtoto anajitambua maashaallah Mungu amfanyie wepesi na azidi kumuongoza amuepushie tamaa. 😥😥😢
2026-09-27 16:06:20
33
ashanti9566
ashanti :
dah uyo mtoto kaniliza waallah😭😭😭😭😭 jaman yupo vizur dah mungu msaidie
2026-09-27 16:28:38
43
vanessa.frank58
vivery franko🦋🥀 :
Mpaka nimeriaa dhaaa😭🙌
2026-09-27 16:00:43
14
aminaissa08
Mina90 :
kaka Esko uwe unaweka namba ya sisi watazamaji kutuma chochote.
2026-09-27 17:10:49
88
rashaad923
SAMMY RASHAAD 😍 :
umaskin sio mzuri mungu msaidie huyu mtoto mpe hitaji la moyo wake
2026-09-27 16:12:56
18
kakai5160
KAKAI :
hi family inahitajika ipate vyumbaaa viwili na sebuleee chap chap
2026-09-27 18:28:23
16
user9127milly
🦋Milly💕 :
😭😭jamani umasikini mbaya sana🙌🏽
2026-09-27 16:33:03
17
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About