@emmanuel69973:

Prince Of Heaven
Prince Of Heaven
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 16:01:06 GMT
77966
8237
185
350

Music

Download

Comments

edithafoy3
𝙀𝙙𝙞𝙩𝙝𝙖🎀 :
Ana manage viti😂
2026-09-28 07:59:47
36
petercheyo4
peter :
amen 🙏 nipe
2026-10-14 14:32:13
0
momg269
Mrs. Lugano :
huyu mtumishi nampenda sana jamani hua anaongea maneno ya kutujenga sana
2026-09-27 17:37:01
56
mwath418
adrill :
eeh mungu naomba unipe mume bora
2026-09-28 11:01:05
19
g19massebu
Man'Kush :
Anacho fundisha huyu ni mambo ya kibinadamu zaidi,kwa sababu mtu kufanikiwa siyo sababu ya kua ndiyo mume wa fulani ilihali nature ilishaamua kila mtu na mtu wake, mtu kwenda na kufanikiwa kiuchumi siyo sababu ya awe ni sahihi kwenye maisha ya mtu mwingine, hayo ni mambo ya kibinadamu tu ambayo mtu akiondoa tamaa wala hawezi kupata uchungu kwa sababu ya mafanikio ya mtu aliyemkataa
2026-10-03 06:04:40
4
user61383373096157
user61383373096157 :
😂😂😂 mimi huyo baba
2026-09-27 17:29:51
14
user1147116782658
mama B :
nimerudia mara nyingi 😂😂
2026-09-27 17:02:22
19
happydickson881
Happy Dickson :
saiv naona wachungaji wameamuwa kuambizana kuhubili habari za mahusiona jamani daaaah
2026-10-06 07:26:47
0
sophia_hamad
SOPHIA HAMAD :
Hahaha [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-29 20:06:48
1
sion.lukumay
Officialzion :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sijui ata nacheka nini lkn Mungu akubariki sana Baba Unatusaidia sana sisi ambao bado hata hatuna mahusiano
2026-09-28 19:32:39
0
boniphace_mayila_richard
The Director :
PREACH BOSS🧠🥂
2026-09-29 08:59:08
2
ane.festo
Ane Festo :
ubarikiwe sana mtumishi najifunza pia naongeza siku kwa furaha
2026-10-02 20:17:45
2
ash12128
shuúu😍 :
hahahahaha acha tamaa
2026-09-27 16:13:37
6
user5706305617912
anna :
😀😀😀😀😀dah aya maisha aya
2026-09-29 07:10:18
2
neymer.dickson
Neymer Dicky :
kama mwalimu dah tunaye jamani
2026-09-30 19:35:15
2
choosen1_daughter
ms.favouredgodly :
msalaba tutafika lini golgota🤣🤣
2026-10-07 17:41:01
1
nyabuelizabeth096gmail.1
𝙌ueen 𝙀𝙡𝙞𝙯𝙖𝙗e𝙩𝙝 :
Ee mwenyezi Mungu nipe kumjuwa yupi atakuwa mume wangu sahihi sitamani kuja kujuta
2026-09-29 15:46:34
2
hawa.mussa432
Hawa Mussa :
2026-09-29 19:33:27
0
janethmakendi
Janeth Makendi :
😂😂😂
2026-09-28 14:21:39
0
cutemollely2
Stellah mollely :
nimecheka mpaka nimelia[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 04:16:11
4
nurulove7
nurulove7 :
kweli yule kaka amepata maisha na kazi nzuri ila alijua kunipitisha pagumu jamani Mungu ampe mke mwema
2026-09-29 00:18:49
2
natashamariki
Ms Tasha🍏🍎❤️ :
😁
2026-09-27 16:37:20
1
mwanaa_vitambaa
@mwanaavitambaa :
nimecheka kwanguvu jaman mungu tusaidie
2026-09-29 18:31:39
1
jenifer.reuben
Jenifer Reuben :
barikiwa Sana .tumishi WA mungu fundisho lako linaninenepesha kwa kucheka tuu
2026-10-01 08:40:55
1
ester.gabreli
Ester Gabreli :
baba licha ya mafundisho kuwa mazuri, huwa nachekaga sana, nashukuru kwa kuniongezea ck za kuishi,
2026-09-30 12:10:31
1
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About