haya mambo ya uharakati ayahitaji ubabe wala nguvu, tunatakiwa kuwaelimisha watu kwa hekima na busara bila kuegemea upande wowote.
2026-09-28 09:36:24
1
Joseph Mwinuka :
😁😁
2026-09-28 11:45:06
0
Chui Gogo :
Pole sana.
Kwa kilichokupata, lakini Mungu yuko na wewe.
Na pia naona serikali itakuangalia vizuri upate ulinzi wa kutosha.
Tunakuombea usikate tamaa.
Pole sana.
2026-09-28 13:42:43
0
nkondeja barber classic :
hivi ni kweli wamekufanyia hivyo ?baycola mbona sielewi kunani jamani
2026-09-28 13:23:08
0
smart boy 06 :
napitwa na mengi sim haioneshi live
2026-09-28 11:32:26
0
joyceladslaus :
video ya kutengeneza huyu sio bycola😁😁😁😁
2026-09-28 11:45:18
0
MAMA’B :
Yaan ningekoment sema nimetoka jela juzi tu
2026-09-28 10:27:22
0
suleesh :
nilitaka kucomment ila mwanasheria wangu ana supp mbili
2026-09-28 11:40:17
0
Anthony Kagaruki :
pole sana dada yangu. Mungu amesimama na wewe
2026-09-28 10:42:59
0
Sichalwe Leonald Enock :
Huyu kwani vipi
2026-09-28 05:42:36
0
lone jr :
tutaona mengi
2026-09-28 09:18:09
0
JESS CLO01 🛍 :
nani tena huyu jamani
2026-09-28 09:34:40
0
Silas Mboje :
pole sana dadaangu
2026-09-28 14:49:05
0
Abedi Twaha :
Watanzania tulishajua kua CHADEMA ndio chama kinacho wateka watu na kuwaua,sasaivi kilakitu wanakiweka wazi kua wao ndio watekaji na kuwaua watu,watekaji wakubwa ni Chadema
2026-09-28 10:14:35
0
Shamshir :
KUMBE chadema ndio wauaji Kwa Nini wakutishie wakati ata wao wanaongeA vibaya kuusu ccm
2026-09-28 13:59:48
1
Dizzo Maker collection ⛎ :
Acha nicheke tu😁😁
2026-09-28 10:02:15
0
user131561855 :
waambiee haoo
2026-09-28 07:02:53
0
To see more videos from user @bamfu_tz, please go to the Tikwm
homepage.