@chipupute8: #chipupute #nimechoka

Chipupute8
Chipupute8
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 16:18:28 GMT
49561
2241
444
203

Music

Download

Comments

sophiasije
You First 💕 :
Moyo ni mdanganyifu sana... halafu mapenzi ni maamuzi wala sio hisia... hisia ni mihemko. kama zimeisha kwa huyo na hata kwa hyo mpya zitakuja isha. tawala hisia zako wala usiruhusu zikutawale sababu upendo ni maamuzi...
2026-09-27 16:47:01
557
_therealhafsa
🎀Hafsa🎀 :
İ have been in this kind of relationship but simlaumu yule kijana kwa kuniacha na kwenda kwa mwingine i hope he’s happy because that’s what really matters, you can’t stay in relationships just because of love there are alot more to concern and being happy is real important
2026-10-03 14:02:37
1
c_bertha
𝓑𐙚 :
Imebidi niingie kuthibitisha hii acc ni ya chipupute😂😂tuendelee kupika mwaya mapenz yanachanganya😭😂
2026-09-27 17:06:19
214
omarion__3
𝓝.𝓨.𝓔.𝓜.𝓑.𝓞🚀 :
Muache anaekupenda kikurambeee huku nje😂😂😂💔
2026-09-27 17:33:49
111
fumbakasa786
Mwanzalule Fumbakasa :
😁 Huwaga inatokeaga sana kwenye Maisha ya kimahusiano, kitaalam tunaiita Love Shift, ni kipindi cha mpito ambacho Hisia HUPOTEA kabisa Automatically kwa Mtu ambaye mlikuwa Mkipendana kwa Dhati...!! Angalizo: USIMUACHE AENDE au USIMUACHE UENDE KWA HUYO MPYA as long as Moyo wako una_amani ukiwa naye na huoni sababu ya kuachana naye..!! USHAURI: Peaneni Space au Nafasi, kisha renew Hilo Penzi, Update Hilo Penzi la kale, Rudini kama Zamani mkifanya vile ambavyo mlikuwa Mkipendana TBT..!! Tokeni Out..!! Nendeni Vacation, Badilisheni Mazingira, ikiwemo Makazi kwa muda kidogo...!! 🤣 Kwa Kifupi Hilo Penzi linahitaji FULL SERVICE au Mlifanyie SYSTEM UPDATE vinginevyo anytime linavunjika na kulirudisha itakuwa ngumu mno 💔🙌...!! it's either forever or for Always..!!
2026-09-27 20:58:50
118
_.saa.da
_.saa.da :
Mnirudishe nisome comment mie😂
2026-09-27 17:10:22
60
besteleven21
Besteleven21 :
Ogopa sana mwanaume anaejua kupika 😁😁
2026-09-27 17:48:00
47
niniy.mommianna
💎NINIY MOMMIANNA💎 :
Ukiwa na mtu afu ukapata wapili … muache uyo wa kwanza endelea na wa pili sababu kama kwelii ulimpenda wa kwanza usingefall kwa wa pili uyo wa kwanza anastahili apate wa kufanana nae usimpotezee muda
2026-09-27 16:58:08
114
vee17612
Vee :
Huwenda ulidate naye kwasababu anakupenda na ukaona anafaa lakni hukujua kwann unampenda
2026-09-28 06:13:11
21
cuteheavy
CuteHeavy🦋 :
Mimi sina ushauri wowote lakini nataka nikwambie kuna watu wanakuja Kama ibilisi kupima Imani yako na upendo wako, mimi kuna ndoa moja niliingia kama ibilisi yani aliniona akaanza kujihisi hampendi mkewe akawa anamchukia kiasi kikubwa akasema hisia nae Hana mwisho akamfukuza miaka miwili imepita bado ananipenda sana Ila nimeamua kumblock ili ajifunze kutunza kile kinachomfaa na kumpenda
2026-09-27 18:21:08
23
dapz175
•LIVINGLARGE~ 😎😈🧧 :
Bro to Bro “wahenga wanasema usiache mbachao kwa msala upitao” sisemi kwa uyo mpya ni msala upitao ila remind you real are rare fake are everywhere, ukipata real one bro keep her hide her they are so rare now days usimuache uyo mwanamke anaekupenda io mihemko ina mda tu itaisha na mapenz yatarud like before USIACHE DHAHABU IO BRO..
2026-09-28 04:50:40
19
dcosmetics4
Dee :
Huyo mtu anaekwambia kuwa mkweli na hisia zako hio nayo ni red flag 🚩
2026-09-28 13:06:08
17
totozury01
totozury01 :
Hapa ndo naamini kwel wanaume hawapendi Amani …coz I also was good to him Ila akawa bored I guess
2026-09-28 09:50:28
5
yourfavoritesinger4
I SING ,I VIBE ❤️ :
Nitashauri kama mtu wa mahusiano hapa, Kuna muda kwenye mahusiano mnajipa muda kutafakari , jipe muda hata miezi mitatu ndio ujue unaenda wapi... Tafakari kwa umakini..Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili.. Muombe Mungu hekima pia ni hayo tu..
2026-09-28 09:45:43
7
kalilatz
Kalila :
Well kama ni muislamu fanya kitu kimoja kinaitwa istikhara, Mwenyezimungu alisema tumtake ushauri yeye hata kama unahisi labda Mungu kanikasirikia or labda its haram sidhani kama atashindwa kukupa muelekeo uliobora zaidi. "Tunapopata furaha tunaenda kwa tunaowapenda, ila tukiwa na huzuni tunaenda kwa wanaotupenda"
2026-09-27 20:00:56
17
_mjwearsknots
MJ Wears&Knots🧶 :
Achana nao wote tupike tuu chipupute 😂
2026-09-28 17:56:18
6
naomisiri01
Naomi🍀 :
Kuwa bored kwenye mahusianoni kitu cha kawaida na cha mpito. Fanyia service hiyo mahusiano kabla hujafanya maamuzi ya Kutoka.
2026-09-28 13:49:34
7
sabry.kidoty8
🦋Official Kidoty🦋 :
ningekwambia ubaki na uyo wakwanza lkn pia ningekwmbia muache tu mtt wa watu aendelee na maisha yake hastahili at ayo yote tyr kwake hyo ni red flag
2026-09-27 17:02:22
28
its_goldenkid
its _Golden😎 :
Nimewahii mnoo nitarud kusoma comment
2026-09-27 16:29:49
8
its_.miley
_.Melania🦋💕 :
Mapenz ni maamuzi usibaki na mtu kwa sababu tu anakupenda, wala usimuache mtu mzuri kwa sababu unaogopa kwamba hutampata mwingine kama yeye. Moyo wako ndo kitu pekee kinaweza kukupa maamuzi yako Mwenyew kabsaaa lakini Hebu maybe jiulize Kama leo ungekua huru kabsaaaa kuchagua upya yaan bila kuwaza Mara mbili ungemchagua nan?!. Mtu anayekupenda anastahili kupendwa kwa ukweli, na wewe pia unastahili kuwa kwenye uhusiano ambao upendo ni wa pande zote. So just take your time without pressure by the way we live once😊
2026-09-27 18:31:14
13
ruangwa_finest
Ruangwa Finest :
Yani hapa umepishanisha mtiririko wa matukio, Kuna mtu ulikutana naye then ukaanza kujiona humpendi mtu wako
2026-09-27 17:34:47
40
blessedstylecollection
Blessed Style Collection :
Mahusiano,mapenzi,upendo moyo auhusiki tunausingizia ukitaka mtu wa kuishi nae ni maamuzi ukiweka hisia utaacha kila mtu utakae kutana nae coz kuna mabaya mengi hivyo upendo wa watu tulionao na namna tuishivyo nao ndiyo unatuweka ila ukisema moyo sijui hisia aaaah hutapata wa kujenga nae familia maisha bora yanahitaji maamuzi na vyema kuwa na mtu ambae akili inagoma kumuacha kuliko anae chaguliwa na moyo🤝
2026-09-27 18:12:28
6
nithamax
Nitha🌟⚡ :
always tunaambiwa kukaa upande wa i love you too maana kunamda utakaa upande wa i love you na ukakosa i love you too tbh mwanamke akikupenda yeye its better maana hisia na mihemko huisha baada ya muda ila kama mlieza kuvumiliana for 5 yrz give her the honor just saying btw
2026-09-27 16:51:07
26
jackilines3
jacklines3 :
Baki na huyo wa kwanza anayekupendaa acha kuendeshwa na hisia 🥰
2026-09-27 16:43:33
12
nainasurve7
Naina 🇵🇰 🇹🇿 :
my situation wallahi,hivi mnajua ugumu wa kuwa na mtu usie na hisia nae??!! Kila anachofanya anaboa
2026-09-27 17:39:02
34
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About