@denri_africatz: Ni mbaya mazee🤌😅😅😂… Mwezi huu, tumekuletea ofa maalum kwenye mabegi yaliyochaguliwa ili uweze kujipatia ubora, mtindo na uimara kwa bei ya kipekee. 1️⃣ Mabegi ya leather, imara na yaliyotengenezwa kudumu 👜 2️⃣ Ubora unaoweza kuhimili matumizi ya kila siku kwa muda mrefu 💪 3️⃣ Space ya kutosha na mpangilio unaokusaidia kubeba kila kitu bila usumbufu ✨ Haya si mabegi kwa matumizi ya muda mfupi..... Tumeyatengeneza kudumu. Chagua begi lako leo. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #combooffer #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp
Nilimwambia Ant Leah Unajua unanitesa Kila nikikuona najifanya niko serious kumbe moyo unacheza singeli 😅
Akanicheka akasema Basi njoo uniambie live
Nilipofika nikamwambia Ant Leah tofauti ya umri si tatizo kwangu tatizo ni jinsi unavyonifanya nikusahau kila nilichojiambia kuhusu kuwa mtakatifu 😂❤️Akanitazama kimya akasema Wewe mtoto una maneno sana
Nikajibu Maneno ndiyo nimekuja nayo mengine tutayaacha kwenye chemistry yetu
Akanicheka mpaka akashika simu yake Huyu mtoto leo amenichanganya😂❤️Apaunapo soma sms I nipo kitandani najiliazangu UTUPU 😂 nakesho naenda kununuliwa gari kwa raha zangu
2026-09-30 07:06:21
1
baraka posiano :
code izo
2026-09-28 17:52:21
0
warrior👧🥰 :
muulize ChatGPT jina la mchumba ako alafu uje useme kakujibu nini🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 12:13:56
28
Araphaty_junior07 :
kwani nani anamipango ya mwenzake 😂😂😂😂
2026-09-28 18:44:54
6
Frenk :
Umetoka wap kaka 😂😂
2026-09-28 11:48:23
21
Cnn :
hata Salam hakuna
2026-09-27 19:33:50
28
❤️ GNS❤️💵 :
Heee nimechoka🤣🤣🤣
2026-09-28 22:46:01
5
Shakt :
sasa ndo nn
2026-09-29 17:54:38
4
👑 Tash 👑 :
Akirudi home
2026-09-29 11:36:25
5
Daniel Pius :
fedhea kabisa yan
2026-09-27 21:08:48
11
Dreaming 123 :
wale tunaopenda kuvalia simple sendle visigino
2026-09-28 06:12:54
6
Akram🤵 :
Asa mtu asikae Tandale
2026-09-29 22:56:48
1
Tatu Ally :
Ety nimetoka tandale t apo at so mbali 😂😂😂
2026-09-28 11:35:06
8
ABDUL'AZEEZ THIER :
fezea😂
2026-09-28 07:18:40
7
Ahmad Mtimbe :
du mmezalilisha uyo jamaa sio poa
2026-09-28 20:43:21
4
🦋Mary🦋 :
🤣🤣🤣🤣🤣 kha
2026-09-27 17:15:59
5
.. :
Ila mzur ,mtupien kwangu
2026-09-28 12:32:41
5
Fifi❤️ :
Jamn😂😂😂
2026-09-29 12:39:46
1
Happie🥰 :
Kuku😂😂😂😂😂
2026-09-27 20:27:03
4
lucyjason95 :
nmecheka kama chiz
2026-09-28 18:57:17
1
cute baby :
😂😂😂😂😂😂ila
2026-09-28 17:51:40
1
The Iddris :
😂😅😅🤣 maana yake kwanza nicheke
2026-09-28 10:03:34
3
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm
homepage.