@utaliitz: Bei za ng’ombe mnadani Pugu, bei ya Dume inafika mpaka milioni 2.3 shilingi 🐂🐄💵🇹🇿. #kiswahili #tarime #tanzania🇹🇿 #tabora #mwanza

MtaliiTanzania
MtaliiTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 16:33:33 GMT
49497
1171
34
29

Music

Download

Comments

user4084567284619
user4084567284619 :
ukifanikisha kuwafikisha comoro ngombe mmoja milioni 4 na laki tano
2026-09-27 18:19:54
19
hasheemjdurant
durant35 :
long video bro hata sisi tu experience hata Kwa video
2026-09-27 18:08:14
4
fahadmartinez
Fahad34🍻 :
chukua fasta kwa iyo bei yani kwa huku kwetu zanzibar ndama tu tena bado ananyonya ndo bei iyo 2.300.000/=
2026-09-28 09:21:14
5
jordananatory
The investor 264+402 :
Hapo pugu ng,ombe zipo overpriced sana ,na ni moja ya minada ambayo imefilisi wachinjaj sana,hebu fikiria 2,300,000 halaf huyo ngombe ana wastan wa kg 170 nyama ambapo ukiuza 170*10,0000=1,700,000
2026-09-28 03:09:47
5
iam_giji
iam_Giji :
Nunua izo n’gombe mtalii zilete kwetu😂😂😂
2026-09-27 16:39:24
5
salma_baby_
salma_baby_ :
kama hao wenye pembe kubwa hao ni maksai
2026-09-27 19:00:50
2
nusi005
nusi :
Umefika hd pugu siuje chanika ss kwangu😅
2026-09-27 16:50:38
2
chrisswalker961
Chriss Walker960 :
Nenda dodoma kule bei nzuri ,ng'ombe pugu lazima ulalamike
2026-10-03 12:56:47
2
mercyree25
Mercyree🫶🦋 :
niliwaza mchana kama utafika pugu nikuone mtalii😂 ndo naona post saiz🙌🏽
2026-09-27 19:36:36
2
_jeffjesus._
￴JEFF'SWRLD🧃🌍 :
ps 5 mbili😅🫴
2026-10-08 05:55:55
0
user2139516214696
july :
hyo bei kwa dsm ni sawa lkn mikoan ni tofaut
2026-09-27 17:38:57
1
williemnyamwezi
williemnyamwezi :
Nyankole ndo bei zake hizo
2026-09-28 12:21:27
1
lord_vtz255
LORD_VTZ 255 :
bei kubwa izo
2026-09-27 20:48:57
0
daxmcm89
IBRA HIM♐️ :
wa lak 8 hakuna
2026-09-29 09:34:29
0
wanjosun
@Momma Meows 🐱😻 😽😺💥🐱 :
uko pugu sindio machinjioni?
2026-10-02 12:24:16
0
castermagesa2
Caster Mabere :
na akili zangu za nitasena laki 2 na 30🤣🤣🤣 unasemaje23
2026-09-27 17:39:29
4
lucas.anslem8
Lucas Anslem :
🔥
2026-10-10 06:17:06
0
kidotty.ceo
kidotty.ceo :
Dr. Nina umbea. Si nimefanya mri jana yoooo yooo yooooo mpk sasa nashindwa kulala.
2026-09-29 04:20:45
0
lucas.anslem8
Lucas Anslem :
🔥
2026-10-10 06:17:45
0
lucas.anslem8
Lucas Anslem :
🔥
2026-10-10 06:17:00
0
To see more videos from user @utaliitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About