Mother Mary please pray for me, family and friends 🙏💕
2026-09-27 17:26:03
2
Devotha Massawe :
nakuomba uniombe
2026-09-29 19:07:18
1
Lucia John_221 :
mama naomba uniombee na family yangu
2026-10-02 16:11:31
1
Pascal :
La mère de l’église catholique
2026-09-28 11:33:10
1
Lucia mirimbo :
mama mama hiyo, mama mama hiyo mama utuombee kwa mwanao mpenzi.
2026-10-02 09:04:23
1
jeune Boss :
prie pour moi maman maria
2026-10-02 13:55:16
1
julieth cha utundu❣️💦 :
salam maria umejaa neema bwana yu nawe umebalikiwa kuliko wanawake wote duan na yesu mzao wa tumbo lako umebaliki malia mtakatif mama w mung utuombee sis wakosef sasa na saa ya kufa kwetu amina🥰
2026-09-30 15:42:36
2
Yasinta Sutta :
mama naomba uniombee kwa mwanao anisameh dhamb zang na awasameh wot walio nikosea
2026-10-03 19:31:10
2
Jestina Saimon :
anatupenda mm yet atuombee kwamungu
2026-09-28 09:33:44
2
Catie🌹 :
pray for us🙏🙏
2026-10-10 10:01:42
0
Agnes chalamila :
tuombee mama sisi ni wakosefu
2026-10-11 14:50:58
0
christinaeliya749 :
mama
2026-10-10 05:41:12
0
Sophia Allen :
amen mama tuombee sisi wakosefu
2026-10-11 18:19:26
0
Alber :
Mama naomba uniombee kwa mwanao Yese Kirsto anijalie ulizi wake na baraka zake mimi na uzao wangu wote Amina
2026-09-28 15:34:57
1
miss bahaty💕😘 :
amina mama
2026-10-09 14:27:56
0
jessie :
🙏
2026-10-10 11:38:39
0
Uwamahoro Solange :
Amen
2026-10-12 15:04:41
0
rozsaid916 :
mama mam yugu malia
2026-10-11 06:51:55
1
user5480077372267 :
merci maman maria prie pour nous
2026-10-11 14:23:46
0
Sara Sibonike :
Mama maria mtakatifu utuombee kwa mwanao pendwa.
2026-10-02 06:21:37
1
Paulina Lucas :
Mama mama yangu Maria
2026-10-09 19:55:05
0
Getruda Sanga22 :
mama niombee kwa Mungu
2026-10-03 11:06:43
1
sophiajames815 :
amina
2026-09-27 17:03:49
0
To see more videos from user @onyiosigwe1, please go to the Tikwm
homepage.