Rah y kuwo au y kuwolew n unae mpend.e mweny zimung tunakuomb utjaliw tusij tukaow wachumb w wat.tup tunao wapend n wanatupend from the heart
2026-09-28 12:39:44
5
mustapha :
a few days later 😂😂😂😂
2026-09-28 11:25:00
0
SAJ 🥰🫶 :
jmn future husband ulie bc ntakupenda milele😔
2026-09-28 13:30:19
2
Maya lady :
ila last born 😂😂
2026-09-28 07:09:25
3
Warda :
napenda mwanaume akilia kama hivi huo ni upendo wa dhati alonao
2026-09-28 03:09:58
197
Minah🥰 :
Kama hato cheat vile
2026-09-28 04:47:08
127
Nurath Said🥰 :
Ya Allah nifanyie wepesi namimi nipate ndoa
2026-09-28 08:06:35
77
Feisal Mahreiz :
Madhara ya kuowa demu unayemkubali wewe😁😁
2026-09-28 02:57:21
66
falhaty mtambo :
no makeup mashaallah😊😊😊
2026-09-28 05:55:48
12
officialdago_tz :
inaelekea jamaa alikuw anamkubali Binti kinoma
2026-09-28 06:49:03
22
Jima🧸 :
inshallah itafik siku yang🥰
2026-09-27 18:58:55
41
Idris Wakil :
Tusimlaumu mwanetu huwezi jua kapitia changamoto gani mpaka kumpata aliempenda. Hongera zake
2026-09-28 09:30:42
45
🦋Girl's daddy🦋 :
No one talking about the prider no more makeup and still look beautiful 🥰🥰🥰
2026-09-28 08:43:07
5
pingu na deso :
mwenutu katuangusha hapa sijui kwa nini
2026-09-28 02:20:06
21
Pretty trouble :
Unajuwa hii yote furaha ya kumuowa alokuwa dream yake ya kila sikuu
2026-09-28 05:24:32
28
VIKING🇰🇪 :
Ya Allah nifanyie wepesi na mm nifanye halal
2026-09-28 06:40:08
7
eanah.lovie🥀❤️ :
Yote 9 😍hamuon biharc amependza bila ya makeup Masha Allah❤️😘
2026-09-28 10:48:43
7
Di Mamu🥰😏💕 :
🌸🤍💍jmn nimesoma comment zenu wengi wenu mnamsema jmn msimseme Mt ingali yakua hamjui kwenye maisha yk au kwenye moyo WK amepitia mangapi ndoman akafikia hatua hii ndio malanyingi wanaliaga wanawake lkn ukiona mwanaume Analia jua changamota aliopitia ni ngumu sn Mashallhu Allah awajalie kheri kwenu ❤️
2026-09-28 06:28:54
11
minally :
raha ya kuolewa na unaempenda☺️☺️☺️
2026-09-28 04:54:47
6
Skey :
True love sasa hapo utashangaa mwanamke akaanza kujikuta 💪🏽💪🏽
2026-09-28 08:57:18
7
TOAKALI :
siku moja fulaha moja mungu awabaliki
2026-09-27 21:56:47
7
Honey boo🥰❤️ :
Mashaallah
2026-09-28 09:10:43
0
noblekhan :
Zamu yangu ikifika ntalia snaaaa uuwiii
2026-09-28 08:28:23
3
NUSU BEI MR BEI POA :
mungu awazeeshe pamoja mashaallh
2026-09-28 10:15:34
2
To see more videos from user @varane_41, please go to the Tikwm
homepage.