@saidi.saidi158media: #creatorsearchinsights

SAIDI SULTAN MEDIA
SAIDI SULTAN MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 17:37:44 GMT
10361
361
70
86

Music

Download

Comments

hassan.chambago
Hassan Chambago :
checked kuleee
2026-09-30 07:26:34
0
r.bin.jumaa
ramadhan juma :
subhaana llaaah 😭😭😭😭😭
2026-09-29 19:16:17
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
sikuku NI siku 2 Tu.. SASA Saudia Arabia hua kila sikuku yachukuwa siku kadha.. Je hiyo NI Bidaa au laa...
2026-09-29 08:47:35
2
user4122992380095
ibnul kareem :
JazaakaAllahu kheiran yaa shehe ukweli mtupu umeongea
2026-09-29 09:19:37
1
user6618262962325
khalifa ally mduma :
shekhe naomba dalili ya tafsiri yako kwamba maulidi ni bidaa tafsiri hiyo kakusomesha nani
2026-09-28 21:08:35
2
husseinbyaruhanga2
Hussein byaruhanga :
nikiona mze akizungumza maneno kama haya wallahi nafurahi sana naomba Allah akupe mwisho mwema
2026-09-29 17:37:50
1
chid304
Rashid Suleiman210 :
kwani huyu nae shekhe
2026-09-29 16:06:37
0
saidinleee
saidinleee :
Uyo kajibu kw itikadi yake kwhy tunaheshimu maamuz yak
2026-09-29 13:44:05
2
omutuyasoka_245
Aly :
🤣🤣🤣 sasa bidaa ni nini?
2026-09-29 09:50:56
0
abdiothman210
Abdi Othman210 :
Hapa hakuna shekh
2026-09-29 13:42:22
2
user9298183661561
مغمب صالح سيف مجنغ :
hakuna kitu hapa
2026-09-29 19:08:27
1
ibrahimmkare
mk,ibhm :
mashalla maneno Kun,tu
2026-09-29 21:27:39
1
khalid.mohamed1217
Khalid :
aaaa sikweli unayo zungumza
2026-09-29 08:28:56
2
idukuri
Idukuri :
ndio ni haram
2026-09-29 15:45:02
1
juma.banga
juma banga :
aaah me mchele wa maulid sitaacha kula wallah
2026-09-30 05:19:59
0
fikirini40
abdalla ali gaedi :
kwli kabisa
2026-09-29 17:59:54
1
abdillahihussein4
Abdillahi Hussein467 :
MUNGU Akurahamu tutasherehekea mpaka kiyama
2026-09-29 15:59:41
1
official.malik868
official malik :
mm naomba hukum ya bidaa kisheria
2026-09-30 07:47:37
0
kasimuhilalikasom
Kasimu hilali Kasoma :
SHAREHE YA ASWARI NIEPI TUJUZE SHEKHE INFAHAM
2026-09-29 19:38:53
0
binhamdoun2
BIN HAMDOUN :
we ushashiba mwalimu wangu
2026-09-30 00:58:06
0
user5069506185713
user5069506185713 :
kweli sheikh
2026-09-30 03:21:18
0
mshamata21
mshamata :
na kama mambo yanafanya wakat sio wak natak n mm muniambie wakat naalum ni up ambao unapaswa kumswalia mtumi n niupi haufai upi unafaa kumsifu upi haufai na kam kusoma quran kunasehem maalum na nyengine huruhusiwi ukiachan n chooni niambieni n mm nipate ilim
2026-09-30 04:35:13
0
iphonestar_tz
iphonestar_tz :
Masha Allah Simba Hapindishi
2026-09-30 04:25:04
0
mshamata21
mshamata :
heb jaman twambien vizuri kinacho katazwa ni mkusanyiko,ni neno au ni kile kinacho fanywa
2026-09-30 04:32:43
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
lete Dalili Karni tatu kiyongozi akitangaza Mwandamo MTU ampinge hadharani atangaze yeye kinyuma yake .. Swala Tahajud Jamaa kumi la mwisho Khutba ijumaa kwa lugha si kiarabu dua khatmu Qurani... Kugawa Tawheed sehemu3..
2026-09-29 08:42:59
0
To see more videos from user @saidi.saidi158media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About