Hii post itawaliza sana watu kuna watu tuu wakiiona wataumia uzur sitaji Mtu Ila kuna team ina rekodi Nzuri sana za kuifunga team fulan hapa bongo Tena mfululizo na kombe la NBCimebeba mara 32 sijui ni timu gan Ila cha msingi ushindi
2026-10-13 12:31:23
0
mr davide :
bado 2:1 alfu safar ndo tumeanza
2026-10-14 11:06:29
0
hellen💞🔥 :
inaendelea aaaaa
2026-10-13 15:32:56
0
mchanga official🙏🙏 :
2-0 mbna haionekani
2026-10-02 17:35:09
0
Bilaly Kisinza :
naxhindwa kuelewa
2026-09-27 19:58:10
0
JoshuaG@Arusha :
2026-10-02 16:03:49
0
chimi :
we rekod umetunza za yanga tu simba yeye kushinda hajawahi??
2026-09-27 19:24:11
0
user2241850180653 :
weka na ile hat trick ,corner goal, goal la chama na ile miaka 7 bila kutikisa nyavu za simba ,uje na hoja za msingi kubixhana