@obizee_otilebrown: 🔥🇰🇪 Wenye mziiki, mko wapi?! 😍🔥 JOVIAL x OTILE BROWN — MATATIZO 🎶❤️ Hii ngoma bado inawaka! 🔥🔥 Nani bado anaispin on repeat? 👀😂 Go stream “Matatizo” now! 🚀🎧 @jovial_ke @otilebrown #Matatizo #Jovial #OtileBrown #KenyanMusic #Mziiki
OTILE BROWN OBIZEE
Region: KE
Sunday 27 September 2026 18:02:09 GMT
Music
Download
Comments
Panthera 🦁 leo :
Kwani mazishi ni leo😳😂
2026-09-28 15:22:29
81
N razor :
hae darling
2026-10-25 07:32:15
0
from your contact :
wanadate kwani
2026-09-28 18:36:11
4
Javier🍒Joxy🍒 :
Nani hupenda wakiwa pamoja gonga like tukisonga🥰❤️
2026-09-27 19:36:07
575
bren brender :
weuh Hilo Ni kwapa[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-27 21:10:31
46
Geldine❤️❤️ :
usitusumbue tena ukipata jeraha la moyo utulie kuko huko na jovial 😂😂😂😂
2026-09-27 20:20:31
232
Gladys Cherono :
Mnafanya wambea waonekane watu wabaya🥰😁
2026-09-28 05:57:10
55
Mary Wamboh :
mtaachana tu🤣
2026-09-28 04:09:33
22
ALAN :
kwa picha hizi no dhahiri shairi atakuja kwenye mazishi
2026-09-28 09:41:37
20
Camilah Debbie💫 :
this song hits different ukiwa in love🥰😅
2026-09-28 14:56:48
5
Miss pretty Brown :
yawah na vile huyu kijana hukua hensome ...heartbreaks hutokea na nn haswaa
2026-09-28 17:22:03
8
user7598630054863 :
acha Nika fute comment yangu 😭
2026-09-28 07:51:00
7
cute 🥰 :
ata before nijue wako pamoja nlikua naona wakiendana
2026-09-27 20:05:48
15
wakesho :
Kifuani mwangu sikulazi na simu usinipigie😂😂😂
2026-09-27 19:20:40
4
H.Finest 🌹 :
nimetoka huko Kwa Nadia and now this 🤔🤔 weeeeh! mapenzi wewe 👉
2026-10-01 18:18:36
3
jorjese dhe empire :
jeraha😅😅😅subiri liponeee😂😂😂
2026-10-08 17:55:12
1
Baraka Festo :
Nakukubl sn kaka Otile From Tz. kahama shinyanga🙏🙏
2026-09-29 13:04:36
2
FANCY Cherotich :
this song made it,ju that time i was down,jovial God bless you
2026-10-21 09:13:01
0
Madam gospeller (Marious Maria :
wauuu aki you look great..mungekuwa tu pamoja🥰🥰
2026-09-27 19:51:30
5
Havilla :
This is love
2026-09-27 19:46:08
3
ALEX MUTUA :
jicho moja man 👨 A.m itakua mbaya 📺 TV 👨 📺 community health services watoto na wamama
2026-09-28 13:02:45
1
Abigael Montez :
weeeh nilidhania mume achana opps thank God ko pamoja bado l love you guys🥰
2026-09-27 18:25:08
3
Nichy 🧸❤️ :
Acha avunjwe moyo atoe ingine Kali😅😅
2026-09-27 20:11:40
3
Monicah🇹🇿🩶 :
Ulisema asikanyage kwenye matanga yako vipi tena😂😂😂😂
2026-10-01 19:47:57
2
lino king :
Otile bana minapenda murudiane na jovial na vile wimbo zenu ukua sweet
2026-09-30 08:50:03
2
To see more videos from user @obizee_otilebrown, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.