@drhamadatibaasilitz: MAGADI IJUMAA NI UFUNGUO HATARI- HII NAKUHAKIKISHIA KWA 100%, TIBA HII NI UFUNGUO. KWA UWEZO WA MUNGU Muda wa Kufanya: Ijumaa kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni Vifaa Unavyohitaji: 1. Ndoo ya maji safi ya kuogea 2. Magadi asili - weka kwa wingi (sokoni ulizia magadi watakupatia) Hatua za Kufuata: 1. Oga na usafi kwanza kabla ya kuanza utaratibu huu 2. Weka magadi asili ndani ya ndoo ya maji 3. Ingia bafuni na maji hayo 4. Wakati unaoga, kuwa na adabu na moyo safi. 5. Omba kwa Mungu kwa unyenyekevu juu ya shida zako zote SOMA HII NIA KWA SAUTI YA POLEPOLE: "Ewe Mwenyezi Mungu Mola wa rehema na baraka. Kwa uwezo wako na kwa utakatifu wa maji haya yenye magadi asili, naomba unisafishe mwili wangu na roho yangu. Niondolee jicho baya, husda, na uchawi wowote unaonipinga. Nifungulie milango ya riziki, afya, amani na mafanikio. Unifanye niangaze kama jua, niwe na nuru na heshima, na unipe ndoto njema zitokanazo na ishara ya kheri. Ewe Mola, nigeuze niwe bora zaidi kimaisha . Amina." Baada ya Kuoga: 1. Maliza kuoga kama kawaida 2. Usiku unaweza kupata ndoto zenye ishara njema 3.Siku hii ya ijumaa haitokwisha utaona alijificha. #KUMBUKA: Hii ni elimu ya tiba za kiroho. Utakaso una faida na miujiza mingi. Chukua ujumbe huu na uridhike nao kwa leo. #255793889562 #Whatsappnumber #drhamada

Dokta.hamada.msemakweli
Dokta.hamada.msemakweli
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 18:27:12 GMT
3110
103
13
30

Music

Download

Comments

mashy559
🎀 M@$h@💓 :
sheikh samahani ni magadi ya mlenda au
2026-09-28 08:06:40
1
user9215292866693
user9215292866693 :
asante
2026-09-28 04:07:03
0
zubedahbushiry609
Madame Zuuh the bawse :
shukran
2026-09-30 12:56:42
0
amidujr.tp
Shabby :
baada ya kutapeliwa muda mrefu hatimaye nimepata mkombozi Asante Sana Kwa somo hili, sitatapeliwa Tena hapa TikTok Nina Iman matatizo yangu yataondoka Kupitia wewe insha ALLAH
2026-09-28 04:41:32
0
priscusimoshi
Priscusi Moshi😎😎 :
je yale ya machame yanafaaa
2026-09-28 14:19:16
0
lailath.kaiza
Lailath Kaiza :
Asante
2026-09-27 19:29:48
0
chanel9280848420691
chanel :
🥰🥰🥰
2026-09-27 20:47:30
0
rose_merr
Zena :
🙏🙏🙏
2026-09-28 19:39:42
0
To see more videos from user @drhamadatibaasilitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About