@coachaggy: DAY 13/90 Leo nimekula pilau 🌚😅, Na ndiyo nimeweka X kwenye tracker yangu kwa sababu leo chakula nimekula tofauti na nilivyokuwa nimepanga, But honestly… I don’t feel guilty Nilianza hii journey nikijua kabisa kutakuwa na siku ambazo sitafanya kila kitu perfectly na leo nimejifunza tena kwamba one meal outside my plan doesn’t mean I’ve failed, Kesho ni Monday na sitaanza upya nitaendelea tu. Na hii ndiyo nataka na wewe ukumbuke: Usile kitu ambacho hukupanga halafu ujilaumu mpaka ukaamua kuacha journey yote, Enjoy it, learn from it then get back to your routine Just because I can enjoy a meal like this today doesn’t mean I’ll do it every day ✋, Aim yangu sio kuwa perfect bali kujenga habits nzuri ambazo naweza kuishi nazo, Natamani tujifunze kutoka kwa kila mmoja 👀👇🏽 Niambie ukweli ni siku gani uliwahi “ku-ruin plan” yako ukala kitu ulichokuwa hujapanga? 😂 Na baada ya hapo ulifanya nini uliendelea kesho yake au ulisema “basi ngoja nianze Monday”? 😭😂 No judgment zone ❤️.

AgnesKibumu /Business&Wellness
AgnesKibumu /Business&Wellness
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 18:32:29 GMT
14102
506
46
17

Music

Download

Comments

msflower766
flower 💋🧸 :
let's goo[Starstruck]
2026-09-27 19:53:52
1
christinajoshuajr
christina joshuajr :
jamani na Mimi Leo nimekula pilau siku ya 11 uwiii nilihisi nimeharibu kabisa
2026-09-27 19:31:22
7
carricrichard
carricrichard :
unasura nzuri
2026-09-29 11:35:47
1
teema94468
Kaane🎋 :
mie hata cravings na Wali Sina yaan👌
2026-09-28 06:45:13
1
cutest4564
🍎𝐍𝐢𝐡𝐚𝐧🍎 :
me nilianza wiki mbili nikajiachia mwezi mzm sas naendelea 😂😂😂
2026-09-28 13:27:33
2
angelee4848
A48🥷🏿🥰 :
Mm sifanyi mazoezi ila nimebadili ratiba nakula mara 1 kwa siku tu
2026-09-29 08:31:57
1
olly_storetz
Olly_storetz :
Ko hii safari hauli wali wala ugali? Me nimepunguza portion tu
2026-09-27 19:45:46
4
duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
Mimi nitaaza kesho InnShaaAllah
2026-09-28 10:08:50
1
2025n4ever
2025n4ever :
Jumapili ya Familia, tunaanguka then tunaendelea na target inafika bila kwere. Wewe ni mshindi 👊🏾👊🏾👊🏾
2026-09-28 05:30:11
1
dadysheb
🌹🌹ام عمير،،السلفية 🌹🌹 :
sie tuna group la diet na tunaendelea vzr now
2026-09-28 15:30:23
0
itsjess.diaries
itsjess.diaries :
Asantee sana kipenz
2026-09-27 18:36:09
1
mariakasekwa
Billionaire Maya🔥 :
Asante sana mana juzi nilikula chipsi ila nikajipa moyo kwamba nimejipongeza mwenyew
2026-09-28 07:47:18
1
dadysheb
🌹🌹ام عمير،،السلفية 🌹🌹 :
tuko pamoja kipenz
2026-09-28 15:29:59
0
user2984912133413
betha :
Mimi tulianza safari pamoja na nimeenda hospitali leo nimepima uzito nimepungua kilo 2, but naumwa na nimeambiwa nile nishibe coz dawa ni kali 😭😭😭nimeumia
2026-09-27 20:00:29
2
ramomassage1
Mrs Ramo :
me nimefny mwezi mmoja bila kucheat now nipo kam mnavonionaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kilo 76 mpk 56 nowwwwwwwww
2026-09-29 05:42:35
0
user9235090342482
user9235090342482 :
😋😋😋😋
2026-09-28 14:24:00
1
mimah5040
mimah :
😂😂😂
2026-09-27 19:44:37
1
beastman181
Beastman :
😂😂😂
2026-09-29 09:38:26
1
To see more videos from user @coachaggy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About