@binaupdates: @diamondplatnumz anasma yesu alisema kwenye Luka 5_32, mwenye Afya hawahitaji tabibu" neno moja wa diamond jamani kumbe mpaka neno lipo sio muziki tu

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 18:50:23 GMT
82478
5144
369
280

Music

Download

Comments

paskal_dino
Paskal Dino :
Jamani kwa Unyenyekevu Mkubwa sana Niseme tu Bwana YESU Asifiweeee 🫂🔥
2026-09-27 20:28:47
56
unclebenny_12
Bensoul :
nasubiri collaboration ya Zuchu na Rose muhando🔥😁
2026-09-27 19:59:36
78
user8791778102270
Jennifer :
eee kumbe nimchungaji daimond
2026-09-27 19:21:09
129
realkituka_jr.024
the Osborn jr_024 🐯 :
Apostle Diamond platinumz😂😂💪💪..n injili inapigwa tu
2026-09-27 20:17:08
42
user8763466863797
jullove23 :
alafu kumbe hii sauti inafaa kuhubiri👍🏻👍🏻
2026-09-27 20:45:14
16
isaaczephaniah301
isaaczephania :
kama unamwamini Mungu like hapa ❤️
2026-09-27 20:12:35
40
mome2522
mome🍒💜 :
Wale tunaoangaalia usiku
2026-09-27 19:44:06
197
eyy.bhessy
eyy.bhessy :
Kwer huu ni mwisho wa dunia😳
2026-09-27 19:59:12
51
jeyloo72
𝐉𝐞𝐲𝐥𝐨𝐨 :
Nani mwingne anatumia Wi Fi ya Kituo cha Police ama ni mimi peke angu
2026-09-27 20:08:44
32
aiem_glory
👅💕aiem_glory🦋 :
Mwaka huu tutaona mengi😂
2026-09-27 21:03:38
11
kashelectronics5
kashasha :
sio Kila anaesoma neno la Mungu ameokoka au anamwamini Mungu
2026-09-27 20:01:08
22
user1255539400202
rose :
umefanya jambo jema barikiwa
2026-09-27 18:55:48
54
evalinaandrea552
Evalyneh🙂💕 :
let as God judge him
2026-09-27 20:08:52
4
user2096526181534
NUOR TZ🇹🇿 :
mond anajua bible kulko mm
2026-09-27 19:48:41
1
_gifted_2
____Gifted____.🦋🌸 :
HII NI DEFENSIVE MECHANISM NIAMININI
2026-09-27 20:24:42
1
francine.de.bienf
francine de bienfait :
Amen and amen 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🙏🙏👌
2026-09-27 21:56:06
0
user3777295265572
Babe girl :
amen 🙏 🙏 🙏 [Red heart][Red heart]
2026-09-27 20:24:12
2
pamejog
P@mejog :
amen apostle ☺️
2026-09-27 19:42:49
0
fellin70
fellin🦋💕 :
Neno la Mungu linabodwa tu
2026-09-27 21:17:06
6
esterlukumay960
ester :
nimekupenda sana daimond imba wakitaka wafe
2026-09-27 21:05:06
5
laurel.canary
Laurel Canary :
Na kuna watu watahukumiwa kwa kazi ya kuhukumu watu
2026-09-27 20:38:10
5
ivonerkelvin6
Ivoner Calvin :
El-Nino lazima itatusamehe Tanzania tunatubu huku baba 😢 😭
2026-09-27 20:30:43
10
brandmotion.ai
brandmotion a.i :
you wanna know how funny Jesus is..Diamond ataingia mbinguni af wanao mjudge wasiingie
2026-09-27 19:45:34
19
cutevivian01
Cute me :
Safi Umewajibu Wanaomuhukumu Lwaga Et Kisa kuimba Nawewe Wokovu Haujaja Kwajili ya Waijuao Kweli Bali Walio WAOVU
2026-09-27 19:59:33
11
jenas061
💮flower :
huyu mnae muhukumu na kumuita shetan mwisho wa siku yeye atakubali mwenye dhambi na atasamehewa na nyie MNAO jifanya ndio watu wa mungu mta ungua mushangae😂😂 Kila mtu atabeba msalaba wake muacheni MONDI WETU.
2026-09-27 20:15:01
8
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About