@kibodetv: NGUMI UBENA #trending #swahiltiktok🇹🇿 #foryou #creatorsearchinsights

kibodetv
kibodetv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 18:51:25 GMT
195791
6302
621
437

Music

Download

Comments

aminahglam
Minah glam🌟 :
Kwel mm napnd umbea ndo nimeangalia mpk mwish 😂😂
2026-09-28 05:26:06
91
user4523226184988
estar :
embu turudi kwanza hapo kwenye miaka 20
2026-09-28 08:17:19
69
niphereggsshop0
niphereggsshop0 :
Mbn kama watu wazima ndio wanaumia san [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 20:45:35
26
mimi4rever1
zaytudah :
Wa miaka 20 yuko wapi jmn
2026-09-27 23:04:59
51
kingsalim023
kingsalim🔥🔥 :
sisi madereva wa school bus tunawaomba wazazi punguzeni maji kwenye juice za watoto
2026-09-28 12:04:53
23
thee.nayfah
nayfah🌸🤎 :
C mpigane agh mpk nachoka 😂
2026-09-28 05:07:52
22
hajrakimar
Kim Hajra og :
Mim ndo uyo Mpambe apo
2026-09-28 05:24:51
30
user6305663855615
mariamu :
akhaa bora nipo kibahaaaa jmn khaa
2026-09-27 20:44:23
23
mim_lonnert0
mim_lonnert :
ukiwazid wanaungana ili wakuchukiee mung akulinde mwaya nakuelewa
2026-09-27 21:46:06
40
priskalyimo
Priska Lyimo :
na hii ni Tanzania yangu serekali yangu 🎤
2026-09-27 20:15:32
31
lydiachimale1
lydiachimale319 :
me napentyaaaaa hatariii😂😂😂
2026-09-27 20:33:09
10
tatysweetycake1
tatysweetycake1 :
20 na point labda 29
2026-09-28 05:32:36
14
minahkidot
minahkidot :
Nmeangalia mpk mwsho mie kwa umbea kupoteza muda sijali
2026-09-28 09:10:48
15
gracefrancis02
Grace🇹🇿 :
Watu wazima alafu😂🙌🏻
2026-09-27 22:22:26
8
damzur6
Maria :
Tuliza Camera basi aaaa unaniuzii😳😳😳😳
2026-09-27 21:45:14
7
winfridasengongo
Winnie cash point :
😅mmetisha sana kibode Tv
2026-09-28 04:51:27
5
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Kwenye shuhuli yangu msubili tule kwanza mwisho ndo tupate burudani ya ngumi😂
2026-09-28 08:04:50
9
faidhasaidi15
fasamo17 :
imewaumaaaa bhanaaaa kwani kataja mtu kwani chefuuu
2026-09-28 13:57:32
5
user7490955493202
warda yange :
mc ndimu nakupenda dada yangu Fetty mpambe wa mc nakupenda vepeeee umejuwa kuwanyoosha
2026-09-28 07:07:16
9
chiomasaveg
CHIOMA SAVEG ❤️🫂 :
uyu camela man nakupenda wazim yan walipo upo 😂😂😂
2026-09-28 04:20:10
9
tullywilliam
tullywilliam :
kweli mtt mdogo anawasumbua watu wazima😄😄
2026-09-28 06:36:54
6
jasmine.ommy7
Bintiii_Omarry✨🦋💝 :
namiakaaa 20 na point chezeaaa wey😂😂😂
2026-09-27 22:28:30
6
user5369526572144
sherry :
miaka 20 na twenty elielewa anieleweshe
2026-09-29 05:13:59
1
naahbae4
DA NAAH🦋💦 :
jaman tusome miaka 20 na twenty😅
2026-10-01 15:50:37
4
rumayha.mom
RUMAYHA MOM :
mdaula ndo wapi??jamani😂😂
2026-09-28 05:18:51
0
To see more videos from user @kibodetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About