@millardayo_: Msanii wa muziki Nchini Tanzania, Faustine Mfinanga maarufu kama Nandy, ametangaza ujio wa albamu yake mpya mwaka huu 2026, inayokwenda kwa jina la “911”, ikiwa ni baada ya kufanyika kwa Tamasha lake la Nandy Festival. Kupitia ujumbe alioutoa baada ya tamasha hilo, Nandy amemshukuru Mungu pamoja na Mashabiki wake kwa sapoti ambayo wameendelea kumpa tangu alipoanza safari yake ya muziki hadi sasa. “Sina neno kuu zaidi ya shukrani kwa Mwenyezi MUNGU na Mashabiki zangu mlionipa sapoti tangu naanza muziki mpaka sasa, jana ilikuwa siku kubwa na ya kihistoria kwenye maisha yangu ya muziki kupitia Tamasha la NANDY FESTIVAL, kiukweli maneno tu hayatoshi bali shukrani zangu ni kubwa mno mno,” ameandika Nandy. “Pamoja na yote niliwapa ahadi Mashabiki zangu kutoa album na kwa wale ambao hawakufanikiwa kufika kwenye venue, hili ndio jina na utambulisho rasmi wa album yangu huu mwaka 2026… 911 GET READY” #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 19:01:50 GMT
23358
1130
24
5

Music

Download

Comments

fredyamin36
dj Redy :
CHUGGA Kam mbele bike life 🔥🔥🔥🔥
2026-09-27 20:19:31
0
rikason_tyson
rikasontyson :
kakopi aika na nareen 😁😁
2026-09-27 19:14:57
7
allymianablack
ALLAH AKBAR 🤲🏿 :
2026-09-27 19:07:25
2
amon_chaulla
𝐀𝐦𝐨𝐧 𝐂𝐡𝐚𝐮𝐥𝐥𝐚 ⛎ :
2026-09-27 19:05:33
2
magaritha10
Magaritha🎀 :
sasa ndo aige
2026-09-27 19:35:45
0
user9481076860171
Momo :
Kaka mi niwakaza kukomet nakupenda bure kaka yetyu
2026-09-27 19:05:20
0
mimijenifer
Jennie🤍🤎 :
mbnaa c ngenii hii scene
2026-09-27 20:19:01
0
lidia.nyangoma
Lidia Nyangoma :
waoooooo
2026-09-27 19:45:48
0
kikuluzo
mtengw@ :
911 kivipi hizo nyimbo
2026-09-27 19:05:29
0
officialmiss_g
miss G :
ikifika 1k mniambie
2026-09-27 19:07:37
0
tiffanyglow873
"miss Bugatti ❤️❤️ :
imewezaaa 💯 🥰
2026-09-27 19:10:53
0
n0rth_99
Lyimo Jr :
Shemeji 🔥
2026-09-27 19:08:05
0
coldhearttz02
cold___heart🤍💙🇹🇿♒️ :
2026-09-27 19:42:04
0
a_v_acomics
a_v_acomics :
2026-09-27 19:17:00
2
user2500486014561
angel :
muwe mnaacha edit zinapumzika
2026-09-27 20:02:01
0
fimarbaiya7
Fimar baiya :
Kwanin mnaigana mmekosa creativity kabsa 🥺
2026-09-27 20:26:27
1
dt.therapy1
Dt.therapy :
911 kivipi sasa😂 angesema elinino😂
2026-09-27 19:08:13
2
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
SEPTEMBER ELEVEN 911
2026-09-27 19:15:18
0
victorjacob21
wizo boy :
🔥🔥🙌🫡
2026-09-27 19:05:30
2
mapexadavid
Mapes@💸💸 :
🔥🔥🔥
2026-09-27 19:06:48
2
abdul.ben64
Abdul ben :
🔥🔥
2026-09-27 19:57:14
0
reticial
@ree_correctins :
🥰🥰🥰
2026-09-27 19:05:38
0
damsoni2
damsoni :
😳😳😳
2026-09-27 19:08:58
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About