@babyney093: hongelaen vipenz vyang haikuw lahis mungu kafanya wepesi kwen mtunzwe na mung

babyney
babyney
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 19:05:31 GMT
479347
52662
1436
743

Music

Download

Comments

leejacky85
leejacky ❣️ :
ukikoleeeaaa utaniita nije nikupepee[Tears of joy]
2026-09-29 17:28:30
0
lucyalexdamiano
Lucy Alex Damiano :
mependeza jomon [Red heart][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-09-28 09:36:51
1
andrewmwandu
Mwandu endruw :
wanaume wahivi tumebaki wachache sana
2026-09-28 05:31:33
185
vitalisferdinand1
Vitalis ferdinand :
alafu kuna mm nina husiano langu hata sijuh linahusian na nn
2026-09-28 06:01:59
324
mariabonaventura11
Bonaventure :
angalau kwa hivi ,.. ata kama mtu hana hela unaona yupo na ww☺️kuna wanaume sijui ata wana nn, hawana pesa,huruma wala kujali
2026-09-28 07:29:02
595
vinyy452
vinyy :
be blessed,,, dem unapendwa be comfortable
2026-09-28 20:52:55
1
prince.masha0
Prince Masha :
kiukweri ukipatia kuoa au kuolewa nayo nimafanikio makubwa tu, hata riziki ikiwa ndogo unyama tuu🔥
2026-09-28 04:43:42
59
manvoice009
MBUBA🧢🧢 :
msense hospital 🏥
2026-09-29 16:48:08
0
mussamlali556
Mussa Mlali :
heshima kwa wamama wote mlio ingia leba🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-28 02:48:58
158
mancamushi2006
manca mushi🥰 :
mungu nipe mwanaume kama huyu
2026-09-28 04:12:24
119
user8465232494613
ma sasha💗 :
mpak raha
2026-09-28 16:28:15
0
chesco.rebrony4
Chesco⁴⁵✴️🔥 :
Christopher
2026-09-28 07:29:50
1
gmas590
GMAS :
Kwan hyo ni hospital ya Wilayan Sanya au🥰
2026-09-28 07:46:14
19
reginaselemani6
aysha swaleh :
nimeguduwa mahusianoo ya watu n furaha yangu maana me sijielew nipo kwenye mahusiano au la
2026-09-28 10:21:13
12
mwimbajimatha
Dr Matha Gabriel :
Mimi ni Dr ila kwa upendo huu alionao huyu kaka ni wa thamani sana kuliko ha pesa kuliko hata mali na majumba ya kifahari ,kipindi kama hiki ni kigumu mnoo yaani hakielezeki ila kumpata anae kupa faraja kiasi hiki 😭😭😭naomba hii video niipost kwenye account yangu 🙏🙏ukinijibu nitaichukua . nawaombea kwa MUNGU ASIWEPO WA KUWATENGANISHA ,kupitia mtoto huyu maisha yenu yakafunguliwe sana ,Mkabarikiwe sana .
2026-09-28 22:27:52
7
itc_lizy24
lizzy✨💃🏻 :
Mung barik tumb rang namie sk moj niite mam
2026-09-28 04:58:35
8
vee.momy7
Vee Momy :
Nimeipenda acha niweke status Mm
2026-09-28 12:31:34
5
aydahstambuli
Aydahstambuli :
Ya Rabby nakuomba unijaliee kama huyu kak jamn raha sana🥰🥰🥰
2026-09-28 09:39:01
6
cute.ss07
𝓘𝓿𝓪𝓷 𝓶𝓸𝓶𝓸❤❤ :
mpka nmetaman kuzaa lakn swal ni jee nitafanyiwa hvi au ndo ntakuja hospital mwenywe mungu nisaidie mm duuh!!
2026-09-28 21:27:46
6
user90792760516
Asheri mdenye :
ni vijana wachache wenye ujasili huu kak hongera kwa kujiamni na shemej
2026-09-28 07:34:31
6
aureliaezekiel190
Aurea :
mnapendana had raha hongeren kwa kupata mtoto naamini sikuyangu itakuja nitaitwq mama pia
2026-09-28 05:16:01
9
resty2192
Resty💘💘💘 :
mungu awalinde jamn sio kazi rahisi💞💞💞
2026-09-28 03:01:15
8
dannymalpesa
Danny Malpesa :
hospitr ya chunya iyo ety
2026-09-28 06:34:45
7
bikola.riziki
Bikola riziki :
duuuu iseee nimependa sana hii stuation apo mwanamke ni msikivu na mume pia anampenda na kumsikiliza mkewe mungu abalikiwe na hongereni sana
2026-09-28 06:17:10
6
abdallah.seleman22
Abdallah Seleman Chambuso :
dah mimi wangu nilimwambia fanya mazoezi ilo jibu nililo jibiwa sina amu nikiludia tena kumwambia atanilushia ata jiwe namjua akili zake 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-09-28 02:47:28
7
To see more videos from user @babyney093, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About